Majadiliano:Manispaa
Mandhari
naona bora kichwa ccha habari kingekua manispaa badala ya manisipaa, kwani manisipaa siyo kiswahili sanifu
Kubadili kichwa kuwa manispaa na sio manisipaa
[hariri chanzo]Ikiwezekana bora jina la ukurasa liwe manispaa sababu kiswahili tunasema manispaa na sio manisipaa Almasimagorwa (majadiliano) 08:37, 14 Agosti 2016 (UTC)