Bukoba (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bukoba
Skyline ya Bukoba
Bukoba is located in Tanzania
Bukoba
Bukoba
Mahali pa mji wa Bukoba katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 1°19′12″S 31°48′0″E / 1.32°S 31.8°E / -1.32; 31.8
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Bukoba Mjini
Idadi ya wakazi
 - 80,000

Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. [1]

Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini - Mkoa wa Kagera - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukoba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.