Majadiliano:Bukoba (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sioni majina ya kata katika wilaya hii. Sasa sijui wewe mwenzangu umeoyaonaje? Naona miidadi ya watu tu bila majina ya kata, mmhh, mbona mauzauza (maajabu).--Mwanaharakati (Longa) 07:49, 21 Februari 2009 (UTC)Reply[reply]