25 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 25)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Januari ni siku ya ishirini na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 340 (341 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 750 - siku ya mwisho ya mapigano kwenye mto Zab (Iraki), mwisho wa ukhalifa wa Waumawiya, mwanzo wa ukhalifa wa Waabbasi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1860 - Charles Curtis, Kaimu Rais wa Marekani
- 1917 - Ilya Prigogine, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1977
- 1923 - Arvid Carlsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 1938 - Vladimir Vysotsky, msanii kutoka Urusi
- 1949 - Paul Nurse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 1975 - Mia Kirshner, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 1980 - Xavi, mchezaji mpira kutoka Hispania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya wongofu wa Mtume Paulo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anania wa Damasko, Artema, Agileus, Bretanioni, Palemoni, Preieto na Amarino, Poponi abati n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |