Ilya Prigogine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Ilya Prigogine (1977)

Ilya Prigogine (25 Januari 191728 Mei 2003) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ubelgiji, ila alizaliwa nchini Urusi. Hasa alichunguza jinsi mfumo wa ulimwengu ukwepavyo hali ya kupoteza nishati. Mwaka wa 1977 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ilya Prigogine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.