Iowa
|jina_rasmi = Iowa |picha_ya_satelite = Map of USA highlighting Iowa.png |maelezo_ya_picha = Mahali pa Iowa katika Marekani |picha_ya_bendera = Flag of Iowa.svg |ukubwa_ya_bendera = 100px |picha_ya_nembo = Iowa-StateSeal.svg |ukubwa_ya_nembo = 80px |settlement_type = Jimbo |native_name = |nickname = |subdivision_type = Nchi |subdivision_name = Marekani |subdivision_type1 = |subdivision_name1 = |subdivision_type2 = Mji mkuu |subdivision_name2 = Des Moines |area_total_km2 = 145743 |area_land_km2 = 144701 |area_water_km2 = 1042 |idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa = |population_note = |wakazi_kwa_ujumla = |website = http://www.iowa.gov/ }} Iowa ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi ya kati ya Marekani bara. Imepakana na Minnesota, Nebraska, South Dakota, Missouri na Illinois. Mto Missisippi ni mpaka wake upande wa mashariki kutazama Wisconsin na Illinois; mto Missouri ni mpapa wake upande magharibi kutazama Nebraska. Imekuwa jimbo la Marekani tangu 1846.
Mji mkuu wa jimbo na pia mji mkubwa ni Des Moines. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,926,324 wanaokalia eneo la 145,743 km² ambalo ni hasa tambarare lenye rutba.
Economy
[hariri | hariri chanzo]Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi na kuna mashamba makubwa Iowa. Mahindi yanayolimwa hasa pamoja na soya yanalisha nguruwe na ng'ombe. Sehemu ya mazao hutumiwa kwa kutengeneza petroli ya ethanol.
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iowa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |