2 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 2)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Aprili ni siku ya 92 ya mwaka (ya 93 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 273.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1285 - Uchaguzi wa Papa Honorius IV
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 742 - Karoli Mkuu, Kaizari wa Dola takatifu la Roma
- 1566 - Mtakatifu Maria Magdalena wa Pazzi, bikira wa Italia
- 1743 - Thomas Jefferson, Rais wa Marekani (1801-1809)
- 1862 - Nicholas Butler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1507 - Fransisko wa Paola, mtawa mtakatifu kutoka Italia
- 1657 - Kaisari Ferdinand III wa Ujerumani
- 1914 - Paul Heyse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1910
- 1928 - Theodore William Richards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1914
- 1930 - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1995 - Hannes Alfven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 2005 - Mtakatifu Papa Yohane Paulo II
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko wa Paola, Apiani wa Kaisarea, Theodora wa Turo, Abondi wa Como, Vikta wa Capua, Niseti wa Lyon, Eustasi wa Luxeuil, Yohane Payne, Petro Calungsod, Dominiko Tuoc, Fransisko Coll n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |