Afrika ya Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 03:01, 8 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 81 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q27394 (translate me))
Nchi za Afrika ya Kusini

Afrika ya Kusini ni ukanda ulioko kusini mwa bara la Afrika.

Katika hesabu ya UM nchi 5 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za ukanda huo:


Jina la nchi au eneo,
bendera
Mji Mkuu
Botswana
Gaborone
Lesotho
Maseru
Namibia
Windhoek
Afrika Kusini
Bloemfontein, Cape Town, Pretoria
Uswazi
Mbabane

Mara nyingi nchi zifuatazo zinatajwa pia kuwa nchi za Afrika ya Kusini: