31 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Agosti ni siku ya 243 ya mwaka (ya 244 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 122.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1879 - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1908 - William Saroyan, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1940, aliyoikataa
- 1924 - Buddy Hackett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1949 - Richard Gere
- 1985 - Eddie Anaclet, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 1970 - Debbie Gibson
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 651 - Aidan Mtakatifu, mmonaki na askofu wa Lindisfarne nchini Uingereza
- 1234 - Go-Horikawa, mfalme mkuu wa Japani (1221-1232)
- 1762 - Momozono, Mfalme Mkuu wa 116 wa Japani (tangu 1747)
- 1985 - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 2002 - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yosefu wa Arimataya, Nikodemo, Aristide wa Athens, Paulino wa Trier, Aidani wa Lindisfarne, Ramon Nonat n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |