Eddie Anaclet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Eddie Anaclet (alizaliwa 31 Agosti 1985), ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania aliyehamia Uingereza. Hivi sasa ni mchezaji wa Brackley Town.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eddie Anaclet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.