Nenda kwa yaliyomo

William Saroyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Saroyan

Amezaliwa 31 Agosti 1908
California, Marekani
Amekufa 18 Mei 1981
California, Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1934–1980
Ndoa Carol Grace (1943–1949, 1951–1952)
Watoto Aram Saroyan (1943), Lucy Saroyan (1946–2003)

William Saroyan (31 Agosti 190818 Mei 1981) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa mikusanyiko ya hadithi, tamthiliya na riwaya. Mwaka wa 1940 aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake “Wakati wa Maisha Yako” (kwa Kiingereza: The Time of Your Life). Lakini alikataa kupokea tuzo hiyo.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Saroyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.