13 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Machi ni siku ya 72 ya mwaka (ya 73 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 293.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1781 - Sayari ya Uranus imegunduliwa na William Herschel
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1615 - Papa Innocent XII
- 1741 - Kaisari Joseph II wa Ujerumani
- 1860 - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1899 - John Van Vleck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 1900 - Giorgos Seferis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963
- 1971 - Viet Thanh Nguyen, mwandishi kutoka Marekani
- 1986 - Nina Sky, wanamuziki pacha kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1901 - Benjamin Harrison, Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1943 - Stephen Vincent Benét, mwandishi kutoka Marekani
- 1975 - Ivo Andric, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masedoni na wenzake, Sabino wa Minya, Kristina wa Persia, Piensi, Leandri wa Sevilia, Eldrado, Roderiki na Solomoni, Ansovini n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |