Jimbo Kuu la Kisumu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo Kuu la Kisumu (kwa Kilatini Archidioecesis Kisumuensis) ni jimbo kuu la kanda ya Kanisa Katoliki ya Kisumu nchini Kenya.
Askofu mkuu ni Zacchaeus Okoth.
Uongozi [hariri]
- Maaskofu wakuu
- Gorgon Gregory Brandsma MHM, 1925–1935
- Nicolas Stam MHM, 1936–1948
- Frederick Hall MHM, 1948–1963
- Joannes de Reeper MHM, 1964–1976
- Philip Sulumeti, 1976–1978
- Zacchaeus Okoth, 1978–
Takwimu [hariri]
Eneo la jimbo lina kilometa mraba 6,419, ambapo kati ya wakazi 2,061,628, Wakatoliki ni 431,120 (20.9%) katika parokia 33.