Jimbo Katoliki la Singida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Singida (kwa Kilatini Dioecesis Singidaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Dodoma.

Askofu anayelisimamia ni Desiderius Rwoma.

Historia[hariri | hariri chanzo]

  • 1972: Kuanzishwa kwa jimbo ya Singida kutokana na jimbo ya Tabora

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

  • Maaskofu wa Singida

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 49,341, ambapo kati ya wakazi 1,304,000 (2006) Wakatoliki ni 152,175 (11.7%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]