Jimbo Katoliki la Hoima
Jimbo Katoliki la Hoima (kwa Kilatini "Dioecesis Hoimana") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Vincent Kirabo.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 17,200, ambapo kati ya wakazi 1,753,000 (2013) Wakatoliki ni 1,040,652 (59.4%).