Nenda kwa yaliyomo

Year of the Gentleman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Year of the Gentleman
Year of the Gentleman Cover
Kasha ya albamu ya Year of the Gentleman
Studio album ya Ne-Yo
Imetolewa 11 Septemba 2008
Imerekodiwa 2007–2008
Aina R&B
Urefu 48:38
Lugha Kiingereza
Lebo Def Jam
Mtayarishaji Ne-Yo (mkuu.)
Stargate, Chuck Harmony, Polow da Don, Kirven Arrington, Shea Taylor, Stereotypes, Shomari "Sho" Wilson, Reggie "Scyience" Perry, J. R. Rotem, Butter Beats
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Ne-Yo
Because of You
(2007)
Year of the Gentleman
(2008)
Libra Scale
(2010)
Single za kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
  1. "Closer"
    Imetolewa: 15 Aprili 2008
  2. "Miss Independent"
    Imetolewa: 11 Agosti 2008
  3. "Mad"
    Imetolewa: 14 Oktoba 2008


Year of the Gentleman ni albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa Kimarekani - Ne-Yo. Albamu ilitoka mnamo tarehe 16 Septemba ya mwaka wa 2008.[1]

Wimbo wa kwanza ni "Closer", ambayo ilitolewa tarehe 15 Aprili. Ilipoanza kuingia katika chati za UK ilipata kushika nafasi ya 22, na kisha baadaye ikaja kushika nafasi ya kwanza. Katika chati za Billboard Hot 100 bora, wimbo umepata kushika nafasi ya saba, wakati yenyewe imepata kushika nafasi kwanza katika nyimbo 100 bora zipigwazo sana katika maredio.

Wimbo wa pili, "Miss Independent", ulitolewa tarehe 11 Agosti..[2]Toleo rasmi la wimbo huo lilitolewa mnamo 21 Agosti likiwa limeambatana video yake. .[3] Nyimbo hizi zote zilitungwa na kutayarishwa na Stargate.

Wimbo wa tatu, "Mad", ulitangazwa kupitia Urban/Rhythmic tarehe 14 Oktoba 2008.[4] Kwa upande wa video tayari ishafanywa ya wimbo wa "She Got Her Own" na ndiyo utakaokuwa wimbo rasmi kimataifa.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina la wimbo Watayarishaji Muda
1 "Closer" Stargate na Ne-Yo 3:54
2 "Nobody" Ne-Yo 3:07
3 "Single" Polow da Don 4:18
4 "Mad" Stargate na Ne-Yo 4:15
5 "Miss Independent" Stargate na Ne-Yo 3:52
6 "Why Does She Stay" Stereotypes 4:33
7 "Fade into the Background" Shomari "Sho" Wilson 3:18
8 "So You Can Cry" Scyience 4:18
9 "Part of the List" Chuck Harmony 4:10
10 "Back to What You Know" Stargate na Ne-Yo 4:10
11 "Lie to Me" Shea Taylor 4:27
12 "Stop This World" Chuck Harmony 4:24

Nyimbo za ziada

[hariri | hariri chanzo]
Jina la wimbo Watayarishaji Muda
"In the Way" (U.S. iTunes only) J. R. Rotem 4:16
"What's the Matter" (U.S. iTunes Pre-Order; UK, Australia & Japan bonus track) Chuck Harmony 3:46
"She Got Her Own" (akishirikiana na Jamie Foxx na Fabolous)
(UK iTunes Pre-Order; nyimbo za ziada za Japan)
Butter Beats 5:32
"So Sick" (nyimbo za ziada za Kibrazili) Stargate 3:27
"Because of You" (nyimbo za ziada za Kibrazili) Stargate 3:46
"Sexy Love" (nyimbo za ziada za Kibrazili) Stargate 3:40
Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Albums Chart[5] 7
Austrian Albums Chart[5] 41
Belgium Albums Chart[5] 35
Canadian Albums Chart[6] 4
Dutch Albums Chart[5] 26
French Albums Chart[5] 24
German Albums Chart[5] 22
Irish Albums Chart[5] 13
Italian Albums Chart[5] 22
Japanese Oricon Album Chart[7] 2
New Zealand Albums Chart[5] 6
Swiss Albums Charts[5] 9
UK Albums Chart[8] 2
U.S. Billboard 200[9] 2
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[9] 1

Historia ya matoleo

[hariri | hariri chanzo]
Mkoa Nchi Tarehe Studio
Asia Japan[10] 11 Septemba 2008 Universal International
Ulaya Ujerumani[11] 12 Septemba 2008 Def Jam
Italy[12]
Uingereza[13] 15 Septemba 2008 Mercury
Marekani United States[14] 16 Septemba 2008 Def Jam
Brazil[15] 21 Oktoba 2008 Universal Music
  1. "Neyo: Year of the Gentleman". Def Jam. Iliwekwa mnamo 2008-06-30.
  2. New Ne-Yo Music - "Miss Independent" Ilihifadhiwa 28 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. The album released 1 Septemba in UK according to Amazon.co.uk and 16 Septemba for the USA!
  3. "My "Miss Independent" Video Is Gonna Be Hot!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-08. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-10. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
  5. 5.00 5.01 5.02 5.03 5.04 5.05 5.06 5.07 5.08 5.09 Ne-Yo - Year Of The Gentleman - Music Charts αCharts. Accessed 25 Septemba 2008.
  6. Canoe -- Jam! Music SoundScan Charts
  7. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Oricon
  8. BBC - Radio 1 - Chart Show - The UK Top 40 Albums
  9. 9.0 9.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named billboard
  10. "Ne-Yo:Year of the Gentleman". universal-music.co.jp (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2008-08-13.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  11. "Ne-Yo - Year of the Gentleman - CD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-28. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.
  12. Ne-Yo - Year of the Gentleman - disco di Ne-Yo
  13. Ne-yo - Year Of The Gentleman
  14. Year of the Gentleman: Ne-Yo: Music
  15. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-10-15.