Nenda kwa yaliyomo

Because of You (albamu ya Ne-Yo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Because of You
Because of You Cover
Studio album ya Ne-Yo
Imetolewa 25 Aprili 2007
Imerekodiwa 2006-2007
Aina R&B
Lugha Kiingereza
Lebo Def Jam
Mtayarishaji Ne-Yo, Stargate, Knobody, Neff-U, The Heavyweights, Shea Taylor
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Ne-Yo
In My Own Words
(2006)
Because of You
(2007)
Year of the Gentleman
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Because of You
 1. "Because of You"
  Imetolewa: 4 Februari 2007
 2. "Do You"
  Imetolewa: 12 Juni 2007
 3. "Can We Chill"
  Imetolewa: 29 Septemba 2007
 4. "Go On Girl"
  Imetolewa: 4 Desemba 2007


Because of You (zamani iliitwa Know Me) ni albamu ya pili kutoka kwa msanii wa Def Jam Ne-Yo, albamu ilitolewa mnamo tarehe 8 Mei 2007. Wimbo maarufu wa kutoka katika albamu hiyo ni "Because of You."

Kulikuwa na fununu za kusema kuwa katika albamu ilibidi waalikwe baaadhi ya wasanii kama vile Trinity Stone, Busta Rhymes, Beyoncé, na Fabolous, lakini ilithibishwa kuwa uongo. Albamu imemshirikisha rapa mmoja tu Jay-Z tena katika wimbo wa "Crazy", na mwingine Jennifer Hudson aliyeimba katika wimbo wa "Leaving Tonight", uliotayarishwa na Knobody. Baadaye Ne-Yo alibadilisha jina la albamu na kuiita Know Me, kabla kuirudisha katika jina la Because of You.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Jina la nyimbo Watayarishaji Muda
1 "Because of You" Stargate 4:26
2 "Crazy" (akimshirikisha Jay-Z) Drama Family Entertainment 4:21
3 "Can We Chill" Eric Hudson 4:24
4 "Do You" The Heavyweights 3:48
5 "Addicted" Shea Taylor 3:46
6 "Leaving Tonight" (akimshirikisha Jennifer Hudson) Knobody 5:14
7 "Ain't Thinking about You" Eric Hudson 3:41
8 "Sex with My Ex" Shea Taylor 3:39
9 "Angel" Syience 3:28
10 "Make It Work" Shea Taylor 4:09
11 "Say It" Keys 4:41
12 "Go On Girl" Stargate 4:21
13 "That's What It Does" (UK na Japan wimbo wa ziada) Shea Taylor na Ne-Yo 3:32
14 "Spotlight" (wimbo wa ziada wa Japan) The Heavyweights 4:04

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (2007) Peak
position
Australian ARIA Urban Albums Chart[1] 39
Dutch Albums Chart[1] 30
Chati za Albamu za Eire[1] 34
New Zealand RIANZ Albums Chart[1] 34
Chati za Muziki za Uswizi[1] 49
Chati za Albamu za UK[1] 6
U.S. Billboard 200 1
U.S. Billboard Albamu Bora za R&B/Hip-Hop 1

Historia ya kutolewa kwa albamu[hariri | hariri chanzo]

Mkoa Tarehe
Japan 25 Aprili 2007
Australia 27 Aprili 2007
Ulaya
Uingereza 30 Aprili 2007
Marekani 1 Mei 2007

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 Ne-Yo - Because of You - Music Charts αCharts. Accessed 20 Septemba 2008.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]