Can We Chill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Can We Chill”
“Can We Chill” cover
Kasha wimbo wa Can We Chill.
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Because of You
Imetolewa 29 Septemba 2007 (IRE)
1 Oktoba 2007 (UK)
Muundo CD, digital download
Imerekodiwa 2006 - 2007
Aina R&B, pop
Urefu 4:24 (toleao la albamu)
3:41 (uhariri wa redio)
Studio Def Jam
Mtunzi S. Smith, E. Hudson
Mtayarishaji Eric Hudson
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Do You"
(2007)
"Can We Chill"
(2007)
"Hate That I Love You"
(2007)

"Can We Chill" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya Because of You ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B na pop - Ne-Yo. Wimbo ulitoka mnamo tarehe 29 Septemba ya mwaka wa 2007. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson.

Wimbo umekuwa mmoja kati ya nyimbo za Ne-Yo, ambazo zimepata chati hafifu katika Marekani, na wa pili kwa kudorola katika chati za Uingereza. Katika chati za U.S., "Can We Chill" umefeli kabisa kuingia katika chati za Billboard Hot 100 bora. Yaani umeshika nafasi ya 52 kwa chati ya Nyimbo Bora za Billboard Hot R&B/Hip-Hop.

Miundo na orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

CDza UK:

  1. "Can We Chill" (toleo la albamu)
  2. "Spotlight" (S. Smith, M. Sparkman, M. Allen)

Promo za UK:

  1. "Can We Chill" (imehaririwa tena)
  2. "Can We Chill" (halisi)
  3. "Can We Chill" (vyombo vitupu)

Chati Ilizoshika[hariri | hariri chanzo]

Chati za (2007) Nafasi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 52
Chato Rasmi za UK 62 [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ChartStats.com". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-16. Iliwekwa mnamo 2007-10-16.