Nenda kwa yaliyomo

Closer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Closer”
“Closer” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
Imetolewa 10 Juni 2008
Muundo CD single, digital download
Imerekodiwa 2008
Aina Pop, R&B
Urefu 3:54
Mtunzi Ne-Yo
Mtayarishaji Stargate
Certification Platinum (RIAA)

Silver(BPI)[1]

Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Finer Things"
(2008)
"Closer"
(2008)
"Miss Independent"
(2008)

"Closer" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa pop-R&B wa Kimarekani - Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Stargate.[2]

Wimbo ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza kutoka katika albamu yake ya tatu ya Year of the Gentleman. Ilishika nafasi ya kwanza katika UK na kutumia takriban wiki 11 katika Kumi Bora za UK. Kwa mujibu wa BBC Radio 1's, "Closer" umekuwa wimbo wa kumi na tano kwa kufanya mauzo makubwa kwa mwaka 2008 katika UK na chati zake.

Chati Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart[3] 8
Austrian Singles Chart[4] 9
Canadian Hot 100 19
Danish Singles Chart[5] 18
Dutch Top 40[6] 12
German Singles Chart[7] 4
Irish Singles Chart 3
Italian Singles Chart[8] 10
Israeli Singles Chart 6
Mexico Top 100[9] 99
New Zealand Singles Chart 3
Norwegian Singles Chart[10] 17
Swedish Singles Chart 43
Turkey Top 20 Chart[11] 2
UK Singles Chart 1
U.S. Billboard Hot 100 7
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 21
U.S. Billboard Hot Dance Club Play 1
U.S. Billboard Pop 100 3
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-29. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
  2. Ne-Yo's 'Gentleman' Inspired By Davis, Sinatra at Billboard
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
  4. austriancharts.at - Austria Top 40 - Hitparade Österreich
  5. Velkommen til Hit-listen.dk
  6. "Radio 538 = 102 FM | Top 40". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
  7. Charts TOP 100 Marktforschung Werbebeobachtung Musik Werbeanalyse
  8. [1]
  9. [http://web.archive.org/20080619064219/http://www.americatop100.com/mexico/index.htm Archived 19 Juni 2008 at the Wayback Machine. Mexico Top 100
  10. norwegiancharts.com - Norwegian charts portal
  11. Turkey Top 20 Chart Archived 30 Machi 2008 at the Wayback Machine. Retrieved 18 Agosti 2008

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]