Bust It Baby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Bust It Baby Pt. 2”
“Bust It Baby Pt. 2” cover
Single ya Plies akimshirikisha Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Definition of Real
Imetolewa Desemba 2007 (2007-12)
Muundo CD single, Digital download
Imerekodiwa 2007
Aina Southern hip hop, R&B, dirty rap
Urefu 4:00
Studio Atlantic, Big Gates, Slip-n-Slide
Mtunzi Algernod Washington, Shaffer Smith
Mtayarishaji J. R. Rotem
Certification Gold (RIAA)
Mwenendo wa single za Plies
"Hypnotized"
(2008)
"Bust It Baby Pt. 2"
(2008)
"Ain't Sayin' Nothin'"
(2008)
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Go On Girl"
(2008)
"Bust It Baby Pt. 2"
(2008)
"Finer Things"
(2008)

"Bust It Baby" ni wimbo wa msanii Plies akimshirikisha Ne-Yo. Wimbo ulitolewa mnamo tar. 25 Januari 2008. Huu ni wimbo wa pili wa Plies kutoka katika albamu yake ya Definition of Real. Huu ulifanywa kama wimbo wa ziada kwenye albamu yake, wakati "Bust It Baby Pt. 2" ukawa wimbo rasmi wa albamu.

Pia kulikuwa na remix nyingine imemshirikisha Trey Songz. Remix yake imechukuwa sampuli ya wimbo wa zamani wa Janet Jackson wa mwaka 1990 maarufu kama "Come Back to Me".[1] Kuna remix nyingine ambayo imemshirikisha Janet mwenyewe.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
Japan Hot 100 Singles 79
New Zealand Singles Chart[2] 9
U.S. Billboard Hot 100[3] 7
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[3] 2
U.S. Billboard Hot Rap Tracks[3] 2
U.S. Billboard Pop 100[3] 20
UK Singles Chart 81

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The New York Times (16 Juni 2008). Critics’ Choice - New CDs The New York Times. Accessed 23 Septemba 2008.
  2. "Plies and Ne-Yo - Bust It Baby (part 2) - Music Charts". αCharts. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 "Artist Chart History - Plies - Singles". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-19. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.