Mad (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Mad”
“Mad” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
Imetolewa 21 Oktoba 2008
Imerekodiwa 2008
Aina Pop, R&B
Urefu 4:14
Studio Def Jam
Mtunzi M.S. Eriksen, T.E. Hermansen, S. Smith
Mtayarishaji Stargate, Ne-Yo
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Camera Phone"
(2008)
"Mad"
(2008)
"Knock You Down"
(2009)

"Mad" ni wimbo wa mwimbaji na mtunzi wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani - Ne-Yo. Huu ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman. Wimbo ulitayarishwa na Stargate na yeye mwenyewe.

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Eurochart Hot 100 Singles[1] 60
Irish Singles Chart[2] 30
Japan Hot 100 Singles[3] 99
Australian ARIA Singles Chart 82
New Zealand Singles Chart[2] 5
Swedish Singles Chart 57
UK Singles Chart[2] 19
UK R&B Chart[4] 3
U.S. Billboard Hot 100[5] 11
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[6] 5
U.S. Billboard Pop 100[7] 13
Canadian Hot 100[8] 23

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. European Hot 100 Singles - Mad - Ne-Yo. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.[dead link]
  2. 2.0 2.1 2.2 Ne-Yo - Mad - Music Charts. αCharts. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.
  3. Japan Hot 100 Singles - Mad - Ne-Yo. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.[dead link]
  4. UK R&B
  5. The Billboard Hot 100 - Mad - Ne-Yo. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.[dead link]
  6. Hot R&B/Hip-Hop Songs - Mad - Ne-Yo. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.[dead link]
  7. Pop 100 - Mad - Ne-Yo. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.[dead link]
  8. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-21. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.