Part of the List

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Part of the List”
“Part of the List” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
Imetolewa 2009 (2009)
Imerekodiwa 2008
Aina R&B
Urefu 4:10
Studio Def Jam
Mtunzi Chuck Harmon, Shaffer Smith
Mtayarishaji Chuck Harmony
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Knock You Down"
(2009)
"Part of the List"
(2009)

"Part of the List" ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki wa R&B kutoka nchini Marekani - Ne-Yo. Huu ni wimbo wa nne kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman. Wimbo ulitayarishwa na Chuck Harmony.

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chart (2009) Peak
position
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[1] 96

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Artist Chart History - Ne-Yo - Singles". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-03. Iliwekwa mnamo 2009-04-26.