So Sick
“So Sick” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya In My Own Words | |||||
Imetolewa | 26 Machi 2006 | ||||
Muundo | 12" single, CD single, digital download | ||||
Imerekodiwa | Julai 2005 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 3:27 | ||||
Studio | Def Jam | ||||
Mtunzi | M. Eriksen, T. Hermansen, S. Smith | ||||
Mtayarishaji | Stargate | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
"So Sick" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa R&B–pop wa Kimarekani-Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na watayarishaji wa Kinorwei maarufu kama Stargate kwa ajili ya albamu ya kwanza ya In My Own Words.
Wimbo huu ulitoka ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu hiyo ya In My Own Words. Hii ilifanya vyema katika chati za muziki duniani, kwa kufikia namba moja katika Marekani na Uingereza. Na pia ndiyo kibao pekee cha Ne-Yo kilichofanya vyema dunia nzima.
Video yake
[hariri | hariri chanzo]Video ya wimbo huu wa "So Sick", uliongozwa na Bw. Hype Williams, imeonekana kuwa na mzunguko mkubwa sana katika BET na MTV. Video mbili zilipigwa kwa ajili ya wimbo huu. Toleo halisi la video hii ilishia ikiwa bado na marekebisho kadha wa kadha. Toleo jipya la video ya wimbo huu linaonekana kupigiwa wakati wa baridi kali na ilipigiwa katika milima ya theluji.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 4 |
Austria Singles Chart | 21 |
Belgium Singles Chart | 17 |
Dutch Singles Chart | 15 |
French Singles Chart | 11 |
German Singles Chart | 11 |
Irish Singles Chart | 2 |
UK Singles Chart | 1 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 3 |
U.S. Billboard Pop 100 | 1 |
Swiss Singles Chart | 5 |
Denmark Singles Chart | 10 |
Norway Singles Chart | 10 |
Italy Singles Chart | 27 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- So Sick Lyrics Ilihifadhiwa 8 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Download/Watch Music Video Ilihifadhiwa 15 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.