By My Side

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“By My Side”
“By My Side” cover
Single ya Jadakiss akimshirikisha Ne-Yo
kutoka katika albamu ya The Last Kiss
Imetolewa 7 Oktoba 2008
Muundo Digital download
Aina Hip Hop, Rap, Pop rap, R&B
Urefu 3:27
Studio Ruff Ryders/Def Jam
Mtayarishaji Eric Hudson
Mwenendo wa single za Jada Kiss
"U Make Me Wanna"
(2005)
"By My Side"
(2008)
"Can't Stop Me"
(2009)

"By My Side" ni single ya kwanza ya rapa Jadakiss kutoka katika albamu yake ya tatu ya The Last Kiss. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson na umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Ilipatwa kupigwa sana kwenye maredio na TV ingawa haikufika hata kidogo kwenye chati za Billboard Hot 100.

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Muziki wa video ulitolewa mnamo tar. 13 Novemba 2008. Iliongozwa na Ray Kay, na ilipata kupigwa ajabu kwenye BET, MTV, VH1, MTV Hits na kwenye MTV Jams.

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 53
U.S. Bilboard Hot Rap Tracks 16

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu By My Side kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.