Nenda kwa yaliyomo

Camera Phone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Camera Phone (song))
“Camera Phone”
“Camera Phone” cover
Single ya The Game akimshirikisha Ne-Yo
kutoka katika albamu ya LAX
Imetolewa Novemba-Desemba 2008
Muundo CD single, digital download
Imerekodiwa 2008
Aina Hip hop
Studio Geffen, Interscope
Mtunzi J. Taylor, Shaffer Smith
Mtayarishaji Cool na Dre
Mwenendo wa single za The Game
"House of Pain"
(2008)
"Camera Phone"
(2008)
"Brooklinz Finest"
(2009)
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Single"
(2008)
{{{Albamu ya sasa}}} "Mad"
(2009)

"Camera Phone" ni wimbo wa nne kutoka katika albamu ya tatu ya msanii wa hip hop The Game, LAX.[1] Wimbo umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Cool na Dre. Umeonekana kuwa kama wimbo wa ziada kwenye toleo la albamu tu. Nchini UK, haikutolewa kama single kutoka kwenye albamu kwa kufuatia kutotolewa toleo lile la juu.

Wimbo uliingia katika nafasi ya #48 katika UK baada ya kutolewa kikawaida. Licha kutoshika nafasi katika 20 bora, lakini imepata kupigwa sana katika matelevisheni mengi ya UK.

Chati (2009)[2] Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 48
UK R&B Chart[3] 15
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-28. Iliwekwa mnamo 2009-05-02.
  2. aCharts
  3. UK R&B Singles Chart