Nenda kwa yaliyomo

Wilaya za Tunisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya za Tunisia.

Wilaya za Tunisia ni 24 nazo zinagawanyika katika tarafa 264 (mutamadiyat), ambazo tena zimegawanyika katika miji (baladiyat),[1] na mitaa (imadats).[2]

Katika ngazi ya kwanza ya ugatuzi Tunisia imegawanyikakatika mikoa 6.[3]

Key Wilaya Wakazi
(2014)[4]
Eneo
(km2)[5]
Msongamano Mkoa
1 Ariana 576,088 482 1,195.20 Kaskazini Mashariki
2 Béja 303,032 3,740 81.02 Kaskazini Magharibi
3 Ben Arous 631,842 761 830.28 Kaskazini Mashariki
4 Bizerte 568,219 3,750 151.53 Kaskazini Mashariki
5 Gabès 374,300 7,166 52.23 Kusini Mashariki
6 Gafsa 337,331 7,807 43.21 Kusini Magharibi
7 Jendouba 401,477 3,102 129.43 Kaskazini Magharibi
8 Kairouan 570,559 6,712 85.01 Kati Magharibi
9 Kasserine 439,243 8,260 53.18 Kati Magharibi
10 Kebili 156,961 22,454 6.99 Kusini Magharibi
11 Kef 243,156 4,965 48.97 Kaskazini Magharibi
12 Mahdia 410,812 2,966 138.51 Kati Mashariki
13 Manouba 379,518 1,137 333.79 Kaskazini Mashariki
14 Medenine 479,520 9,167 52.31 Kusini Mashariki
15 Monastir 548,828 1,019 538.59 Kati Mashariki
16 Nabeul 787,920 2,788 282.61 Kaskazini Mashariki
17 Sfax 955,421 7,545 126.63 Kati Mashariki
18 Sidi Bouzid 429,912 7,405 58.06 Kati Magharibi
19 Siliana 223,087 4,642 48.06 Kaskazini Magharibi
20 Sousse 674,971 2,669 252.89 Kati Mashariki
21 Tataouine 149,453 38,889 3.84 Kusini Mashariki
22 Tozeur 107,912 5,593 22.87 Kusini Magharibi
23 Tunis 1,056,247 288 3,052.74 Kaskazini Mashariki
24 Zaghouan 176,945 2,820 63.93 Kaskazini Mashariki
  1. Tunisia Governorates
  2. Portail de l'industrie Tunisienne Archived 6 Januari 2013 at the Wayback Machine, in French
  3. "Fig. 1. Tunisia map according to region". ResearchGate (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 8 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "2014 Tunisian census data". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 2022-12-21. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "tunisieindustrie.nat.tn". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 2022-12-21. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya za Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.