Wikipedia:Makala kwa ufutaji/Nyaraka 7

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni nyaraka ya makala Wikipedia:Makala kwa ufutaji ya mwaka 2022 hadi Machi 2023. Ina makala pekee zilizofutwa au kurekebishwa ili zibaki; zisizosahihishwa zimebaki kwenye ukurasa kuu.

Kwa nyaraka za zamani zaidi angalia hapa.


Ifutwe au kuboreshwa. Fomati haijafuatwa, haina vyanzo. Aneth 12:59 11 Novemba 2020 UTC

Haina vyanzo vyovyote. Iboreshwe. Aneth 13:02 11 Novemba 2020 UTC

Sioni maana ya makala. Maandamano ni jambo la kawaida katika nchi ya kidemokrasia. Makala haina chanzo chochote kuthibitisha chaguo la maanadamano yaliyoteua. Kipala (majadiliano) 21:45, 13 Desemba 2020 (UTC)[jibu]

Sehemu ya pili haieleweki. Tafsiri ya kompyuta? Hakuna vyanzo vyovyote. Isiporekibishwa haraka, iende. Kipala (majadiliano) 21:27, 8 Machi 2021 (UTC)[jibu]

Ifutwe, Haifa Bora na mpangilio abaya Asterlegorch367 (majadiliano) 07:24, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ni ukurasa wa mtumiaji alipoweka matangazo ya kibiashara. Nimemwonya tayari, naipeleka hapa nisisahau onyo. Kipala (majadiliano) 16:48, 13 Machi 2021 (UTC)[jibu]

Makala inagusa mada muhimu katika historia lakini lugha ni mbaya mno. Nahisi ni tafsiri ya kompyuta ambayo haikuangaliwa tena. Haiwezi kubaki. Ama iandikwe upya kabisa , na kwa lemma tofaut (na sahihi), au ifutwe. Tena sijui amechukua wapi, kichwa cha Kiingereza kilikuwa kitu kama "Brussels Conference Act"; "conference act" ni maazimio ya mkutano, si "sheria". Kipala (majadiliano) 06:14, 10 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Hie ifutwe tu, labda kma mwandishi angetaka kuboresha. Lugha na mpangilio mbaya unaweza kupotosha Asterlegorch367 (majadiliano) 07:24, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya kompyuta mbovu sana. Labda ieleweke kwanza. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:14, 12 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Ifutwe, kwanza haieleweki hata inahusu nini Asterlegorch367 (majadiliano) 07:27, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

VVU / UKIMWI nchini Ethiopia IMEFUTWA[hariri chanzo]

Tafsiri mbaya ya kompyuta. Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 10:48, 11 Agosti 2021 (UTC)[jibu]

UKIMWI nchini Uganda IMEFUTWA[hariri chanzo]

Makala jinsi ilivyo ni tokeo la google translate. Sentensi kadhaa za Kiswahili ni kinyume cha maana ya kiasili ya Kiingereza. Pamoja na hayo makala ya enwiki haileti picha halisi ya hali ya Ukimwi nchini Uganda. Ama iandikwe upya au kufutwa. Kipala (majadiliano) 07:59, 25 Agosti 2021 (UTC)[jibu]


Makala hizo ziliundwa na mtumiaji mwenye matatizo ya lugha, sehemu kubwa ya matini haieleweki, hakuna vyanzo. Sioni maana kutumia muda kusahihisha makala isiyo na maana kwa wasomaji wetu. Kipala (majadiliano) 08:33, 23 Septemba 2021 (UTC)[jibu]

Hizi zifutwe moja kwa moja. Kuboresha ni sawa na kuanza upya Asterlegorch367 (majadiliano) 07:30, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, sehemu iliyotafsiriwa haina habari inayoonyehsa umuhimu wowote, inaonyesha tafsiri ya kompyuta. Kipala (majadiliano) 10:14, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Iwapo mwandishi aliyeianzisha hatafanya mabadiliko, ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:32, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Kama hakuna anayetaka kuiandika upya, iende tu. Kipala (majadiliano) 10:18, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na were Kipala, ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:32, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Sehemu iliyotafsiriwa haionyesha umaarufu wowote. Kipala (majadiliano) 10:20, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na Kipala, makala ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:22, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Umaarufu haueleweki. Kipala (majadiliano) 10:24, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Napendekeza ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:22, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Makala zote nne zinatumia enwiki kama chanzo ambacho hakikubaliki, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Sioni umaarufu kwa wote. Kipala (majadiliano) 10:32, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Makala haifuati fomati wala haikupangwa katika jamii. Iboreshwe au kufutwa.Kipala (majadiliano) 08:40, 3 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Napendekeza ifutwe, labda kama mwandishi atataka kuboresha. Asterlegorch367 (majadiliano) 07:21, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Makala haifuati fomati wala haikupangwa katika jamii. Mtu mwenyewe ni maarufu kweli? Iboreshwe au kufutwa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:32, 5 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Napendiekeza ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:20, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya kompyuta ya kutetea madhehebu fulani dhidi ya mengine. Irekebishwe au ifutwe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:27, 16 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Hie ifutwe tu. Ni makala kubwa ila haini mpangilio na amefanya tafsiri ya moja kwa moja Asterlegorch367 (majadiliano) 07:20, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Nina mashaka kuhusu mada. Kwanza lemma "Tanzania Tech" ni tofauti na link inayofunguliwa "Tech Platform". Halafu naona dalili kwamba makala ni jaribio la mhariri kujitangaza (linganisha mtumiaji:Tech Platform ). Sioni dalili ya umaarufu (link ya pekee inayodai tovuti ilijadiliwa imekufa, na inaleta IP ya mwenyewe). Halafu links zinaelekea tovuti mbili tofauti: https://www.tanzaniatech.one/ na https://techplatform6.blogspot.com/. Ile ya pili inajaa nafasi za kubofya "play" na "download" bila kuonyesha inahusu nini. Hii ni hatari. Kipala (majadiliano) 22:06, 11 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Napendekeza makala hii ifutwe. Haina umaarufu wala vyanzo

Asterlegorch367 (majadiliano) 07:13, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Basi futa. Nimepeleka mimi, ukikubali wewe - futa!° Kipala (majadiliano) 10:33, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]
Nadhani hii ilibadilishwa kutoka makala halisi "Tanzania Tech" kuwa makala ya "Tech Platform" ambayo haitambuliki. Nadhani kuna haja ya kutoa nafasi kwa makala kuongezewa vyanzo ili kuendelea kuwepo kwani imekwepo tokea mwaka 2016. Amanijoseph87 (majadiliano) 17:36, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]
Ndugu unaongeza wasiwasi. Makala haikuwepo tangu 2016 jinsi unavyosema; wewe ulianzisha 08:01, 2 Juni 2019. Ila matini inasema tovuti ilianzishwa 2020. Halafu uliingiza sasa habari kuwa "Tanzania Tech has raised a total of $1B in funding over 1 round." Hii inamaanisha nini? Bilioni USD moja???? Haiwezekani. Nanusu fake nzito. Kipala (majadiliano) 06:59, 14 Januari 2022 (UTC)[jibu]
Ok Amanijoseph87 (majadiliano) 11:28, 19 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Chasasa IMEREKEBISHWA[hariri chanzo]

Nina wasiwasi kuhusu makala hiyo napendekeza ifutwe. Maana sijaona orodha ya kata au vijiji penye majina yale yanayotajwa humo. Naona shule ya sekondari ya Chasasa, hakuna nyingine. Pamoja na Kiswahili kibaya na tahajia yenye makosa mengi , tufute. Kipala (majadiliano) 19:44, 3 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Mji huo upo: [1]. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:49, 4 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri mbovu, vyanzo visivyotakiwa. Ifutwe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 10 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Binafsi naona ifutwe tuu kwasababu huyu mwenzetu amekwisha kupewa maonyo tangu hapo awali na hajataka kutafuta msaada wa kujifunza kuandika na kuhalili makala, nimechungulia jinsi ulivokua unamkumbusha lakina bado hajatekeleza yale aliyo ambiwa. -- Olimasy (majadiliano)

Tafsiri mbaya, haieleweki, ifutwe au mtu awekeza muda wa kuboresha. Kipala (majadiliano) 07:13, 16 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri mbaya, haieleweki, ifutwe au mtu awekeze wakati wa kuboresha. Kipala (majadiliano) 07:13, 16 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Ni dhahiri tafsiri ya kompyuta iliyosafishwa kiasi tu. Makosa yanaobaki ( "kijana mwenye akili timamu" , kuaha Kiingereza kisichotafsiriwa) yanahitaji kusafishwa tena, au makala kufutwa. Kipala (majadiliano) 07:13, 16 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Makala haina maudhui, haina fomati wala vyanzo. Kipala (majadiliano) 11:29, 17 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Haieleweki, sioni sababu ya kuwa na makala. Kipala (majadiliano) 20:10, 17 Februari 2022 (UTC)[jibu]

Makala haieleweki, naona kunahitaji maboresho zaidi, lakini pia mwanzo wa makala hiyo na makala ya Kiingereza bado kunaonekana kuna utofauti, Pia naona Kuna haja ya kuwa na Kigezo cha Makala zisizoeleweka, huenda kuna watumiaji wasio wazuri wa lugha ya Kiswahili wanaofanya tafsiriIdd ninga (majadiliano) 17:26, 21 Machi 2022 (UTC)[jibu]

Nimeelekeza ukurasa kwenda Kibengali. Siku hizi wengi wanaandika tena makala zilizopo tayari. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:38, 22 Machi 2022 (UTC)[jibu]

Makala ni kopi kutoka BBC. Kipala (majadiliano) 08:01, 3 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Makala haifuati fomati, haina vyanzo, kwa jumla haieleweki. Sijakuta kampuni yenye jina kama lemma. Kipala (majadiliano) 12:16, 3 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni google translate. Anayependa aokoe, menginevyo ifutwe. Kipala (majadiliano) 18:43, 6 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Sioni sababu ya kuwa na makala hii. Ni kifupi kiasi kwamba haieleweki historia ya tukio ilikuwaje. Kuna kasoro katika umbo la makala. Ama iboreshwe na kupanuliwa sa, au ifutwe. Kipala (majadiliano) 22:01, 18 Aprili 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni google translate 1:1. Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 07:56, 6 Mei 2022 (UTC)[jibu]

  1. . Makala haina chanzo kinachoweza kukubaliwa
  2. . Makala ni fupi mno haina kitu nje ya ufafanuzi mfupi ambao hatuhitaji kwa sababu
  3. . makala Haki ya kuwa na mazingira salama iko tayari.

Ilhali makala hii hapa haina habari zaidi, ifutwe tu. Kipala (majadiliano) 22:03, 16 Mei 2022 (UTC)[jibu]

Si kujitangaza? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:50, 31 Mei 2022 (UTC)[jibu]

Tusikie wengine pia. Anajitangaza , lakini jinsi ilivyo sasa naona iko chini ya kiwango cha tangazo la kibiashara. Kipala (majadiliano) 20:10, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Fesikh IMEREKEBISHWA[hariri chanzo]

Tafsiri ya google 1:1, enwiki kama chanzo Kipala (majadiliano) 16:30, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Echicha IMEREKEBISHWA[hariri chanzo]

Tafsiri ya google 1:1, enwiki kama chanzo Isahihishwe au kufutwa.Kipala (majadiliano) 16:36, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya google 1:1 Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 16:49, 13 Juni 2022 (UTC) Olimasy (majadiliano)[jibu]

Makala imeundwa kwa kutumia google translate 1:1 pamoja na makosa. Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 20:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Olimasy (majadiliano)

Hii ni google translate kutoka https://en.wikipedia.org/wiki/Namibian_cuisine, Isahihishwe kabisa au kufutwa. Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Olimasy (majadiliano)

Tafsiri ya google kutoka https://en.wikipedia.org/wiki/Koeksister. Isahihishwe kabisa au kufutwa. Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Olimasy (majadiliano)

Tafsiri ya google kutoka https://en.wikipedia.org/wiki/Samp. Isahihishwe kabisa au kufutwa. Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Olimasy (majadiliano)

Tafsiri ya google kutoka https://en.wikipedia.org/wiki/Kube_Cake. Isahihishe kabisa au kufutwa. Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

.. Olimasy (majadiliano)

Tafsiri ya google kutoka https://en.wikipedia.org/wiki/Qustul iliyofupishwa na iliyosahihishwa kidogo, lakini muundo wa sentensi si Kiswahili. Isahihishe kabisa au kufutwa.Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Kama juu. Kipala (majadiliano) 21:07, 13 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Makala hazilingani hata kidogo na fomati na maudhui ya kamusi elezo. Zifutwe. Kipala (majadiliano) 10:14, 20 Juni 2022 (UTC)[jibu]

Panishee Mdudu IMEREKEBISHWA; IBAKI[hariri chanzo]

Huyo jamaa kwanza alijitungia ukurasa wake katika kamusi elezo, halafu ulipofutwa kwa sababu alitaka tu kujinadi alimuagiza mwenzake autunge tena kwa niaba yake. Sioni umaarufu wake, wala hamna vyanzo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:33, 7 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Hapana Sioni sidhani Kama jamaa kawatuma watu pengine mchapishaji ataweka vyanzo, Mimi binafsi namtambua ni msanii kutoka Tanzania na anafahamika

Link ya Makala iliyochapishwa na Mtandao maarufu wa muziki na burudani nchini Kenya Panishee mdudu au PANISHIT kwenye chart za muziki uliopakuliwa zaidi https://www.ghafla.com/these-are-the-top-ten-most-downloaded-songs-in-kenya/

Kuhusu Panishee Mdudu rejea pia kwenye mitandao yake ya jamii na kazi zake za kisanaa zinavyokubalika na watu wengi https://www.instagram.com/accounts/login/?next=/panisheemdudu/ sidhani Kama alichapisha mwenyewe kijinadi

Link hii nyingine ni kutoka kwenye website kubwa Tanzania https://millardayo.com/rttn/ kuhusu habari zake na kundi lake Rotten Blood

PANISHIT alifahamika zaidi baada ya kufanya wimbo aliomshirikisha Nakaay Sumari , pia alikuwa karibu na mkongwe wa hip hop , Nash Mc

Hapana ukurasa huu ni halali , Mimi nipo Tanzania ambapo msanii huyu anajulikana kwenye jamii , rejea kazi zake zilizopo mtandaoni ,Vyanzo Vimeongezwa na vinazidi kuongezeka --Hip Hop Sana Society (majadiliano) 11:24, 7 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Naona inaweza kubaki. Hata kama ni kweli alitunga mwenyewe awali, hata hivyo ni mwimbaji halisi. Nimeondoa sehemu za matini anapojisifu na kusimulia habari za maisha zisizo na shuhuda wowote. Kipala (majadiliano) 06:21, 19 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Hakuna dalili za wikipedia:umaarufu wowote, hakuna vyanzo, Kiswahili kinajaa makosa. Ifutwe. Kipala (majadiliano) 06:11, 19 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Makala hailingani na masharti ya kamusi elezo.

  1. inataja habari za pesa ya crypto kama "faida" tu, hakuna majadiliano kuhusu hasara. Makala haifuati Wikipedia:Msimamo wa kutopendelea upande.
  2. inaelekeza kwenye ukurasa wa kibiashara
  3. haina vyanzo

Ifutwe. Kipala (majadiliano) 07:12, 21 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Sioni maana ya makala hiyo; tukio halipo tena, liliadhimishwa kati ya wafanyakazi wa shirika chache tu, makala haieleweki vizuri. Kipala (majadiliano) 07:28, 21 Julai 2022 (UTC)[jibu]

.. Olimasy (majadiliano)

Makala haina habari halisi kuhusu lemma yake. Ingawa lemma inafaa kupata makala kubwa, maudhui hii haisaidii kitu. Inaonekana mchangiaji alianza kutafsiri maneno ya kwanza ya makala ya Kiingereza (ambayo ni dhaifu) halafu alichoka. Heri tuifute. Kipala (majadiliano) 08:15, 21 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Makala inatumia lugha ambayo si sanifu; hakuna chanzo; hata hakuna data kuhusu mhusika hivyo napata wasiwasi kama makala inalingana na Wikipedia:umaarufu. Ama isahihishwe sana au kufutwa. Kipala (majadiliano) 12:08, 28 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Makala ni hafifu na ina chanzo kimoja tu. Sioni pia kama ni mada inayostahili kuwepo kwenye Wikipedia. Iboreshwe au ifutwe. Asterlegorch367 (majadiliano) 10:21, 5 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala ifutwe au iboreshwe, ina chanzo kimoja tu ambacho ni ukurasa mwingine wa Wikipedia. Asterlegorch367 (majadiliano) 10:21, 5 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala ifutwe au iboreshwe, haina chanzo hata kimoja na sidhani kama ina kigezo cha kua na ukurasa wake wa Wikipedia Asterlegorch367 (majadiliano) 10:28, 5 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala ni fupi mno, na pia haina vyanzo vyovyote Idd ninga (majadiliano) 19:59, 7 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Ni chama cha mashoga kisichojulikana. Hakuna vyanzo. Ifutwe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:43, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala ni fupi mno, pia haina vyanzo vya kutosha na kibaya zaidi imemwagwa kwenye translator kisha ikaweka kama ilivyo, napendekezwa ifutwe. si hii pekee ni karibia makala zote alizoandaa mtumiaji huyu. Olimasy (majadiliano)

Kilinux IMEREKEBISHWA[hariri chanzo]

Makala ni fupi mno pia haina vyanzo vya kutosha. Pia muundo wake haujakaa sawia.--- Olimasy (majadiliano)

Makala haina vyanzo vya kutosha hivyo ni ngumu kuona kama inafikia criteria ya umaarufu Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala haina chanzo hata kimoja. Pia inaonekana kama ni tafsiri ya moja kwa moja kutoka kwenye translator Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Maud Meyer VYanzo vimeongezwa, IBAKI[hariri chanzo]

Makala haina chanzo hata kimoja na inatumia kurasa nyingine za Wikipedia kama vyanzo Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala fupi sana na haina vyanzo Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Setapa IMEREKIBISHWA[hariri chanzo]

Makala haina vyanzo na muundo wake sio mzuri Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala haina vyanzo vya kutosha na muundo haujapangiliwa vizuri Asterlegorch367 (majadiliano) 15:36, 12 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri mbovu kabisa. Hina maana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:14, 13 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Vilevile. Tayari kuna ukurasa jitu na ukurasa njemba zenye maana hiyohiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:17, 13 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

Makala haieleweki, haielezi mada yake vema, haina vyanzo halisi (chanzo kinachotumika hakionyeshi uhusiano na mada), Kiswahili kina makosa. Ama iandike upya kabisa au heri ifuttwe, hasa kwa sababu lemma inayotumika ina kosa la lugha. Kipala (majadiliano) 14:21, 16 Agosti 2022 (UTC)[jibu]

1. Filamu hii ina makala tayari The African Queen, 2. Makala hii haielezi vizuri, 3. Makala hii inatumia marejeo ambayo ni hovyo hayana uhusiano na filamu Kipala (majadiliano) 19:44, 2 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni tafsiri ya google iliyobadilishwa kidogo sana, bado haieleweki, tena dhana imefupishwa hadi kutoeleweka. Fomati haifuatwi. Kipala (majadiliano) 22:42, 7 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni tafsiri ya google 1:1, masahihisho madogo, makosa ya tafsiri. Kipala (majadiliano) 16:13, 8 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Imefutwa

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:20, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala haina marejeo, hakuna dalili ya umaarufu wowote ili awe na makala, ifutwe.Kipala (majadiliano) 17:36, 9 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Imefutwa

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:22, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala haina marejeo, hakuna dalili ya umaarufu wowote ili awe na makala, ifutwe.Kipala (majadiliano) 17:36, 9 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni tafsiri ya google 1:1, lakini fupi mno, hakuna maudhui haitoshi kama mbegu. Iandikwe upya au kufutwa. Kipala (majadiliano) 16:13, 8 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Matini ni tafsiri ya google 1:1, masahihisho madogo, kisehemu bila kuelewa chanzo, yenye makosa. Kipala (majadiliano) 16:13, 8 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Imefutwa

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:15, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Matini ni tafsiri ya google 1:1, masahihisho madogo, makosa ya tafsiri. Kipala (majadiliano) 16:13, 8 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Imefutwa

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:16, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki ("mitandao ya neva"!), enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:34, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Ni tafsiri ya kompyuta, sehemu hazieleweki, enwiki inatumiwa kama chanzo. Kipala (majadiliano) 07:37, 10 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Makala inakosa fomati, interwiki, vyanzo, jamii. Isiporekebishwa ifutwe. Kipala (majadiliano) 13:04, 16 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na wewe, imefutwa

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:14, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Grady Booch IMEREKEBISHWA[hariri chanzo]

MAkala inakosa fomati, lugha na misamiati sahihi haijazingatiwa, imetafsiliwa bila marekebisho yoyote kutoka google translate. -- Olimasy (majadiliano)

Makala ni tafsiri mbaya ya google; ningeifuta mara moja kama isingemhusu mtu muhimu katika harakati ya wikimedia. Isahihishwe - au kufutwa (na kutungwa upya siku moja).Kipala (majadiliano) 12:28, 4 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

makala ni tafsiri mbaya ya google. Ningeifuta mara moja lakini mafa inafaa kuwa na makala, ni mfano mzuri wa matumizi ya Wikipedia. Iboreshwa au kufutwa na kuandikwa upya siku moja. Kipala (majadiliano) 12:31, 4 Oktoba 2022 (UTC)

Ni jaribio la kutafsiri en:Plagiarism from Wikipedia. Nahisi alianza na google akajitahidi kutotumia maneno ya google lakioni bado inaonekana katika muundo wa sentensi. Pamoja na hayo haieleweki, hata lemma yake. Ilhali hata makala ya kiasili ya enwiki ni dhaifu - heri ifutwe au kuandikwa upya. Kipala (majadiliano) 12:49, 4 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri mbaya kabisa- Haieleweki. Iandikwe upya (mada ina maana) au kufutwa. Kipala (majadiliano) 17:03, 4 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

MAkala ni tafsiri ya sehemu ndogo mno ya makala ya Kiingereza. Jinsi ilivyotafsiriwa kwa kiasi kidogo tu, matini haina habari kuhusu Kenya, maana yote ni kweli kwa kila mahali duniani. Pia ni tafsiri ya google iliyonyoshwa kidogo sana. Sioni sababu ya kuendelea na makala hii kama haina habafri juu ya mada yake (Kenya!) na hata jina halikutafsiriwa. Ama iandikwe upya au kufutwa. Kipala (majadiliano) 18:58, 11 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

Makala imetafsiriwa kwa translate tool lakini haikusahihishwa. Sehemu hazieleweki (mfano jinsi alivyotafsiri "blacklisted" na maana yake...). Iboreshwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 16:50, 1 Novemba 2022 (UTC)

Kimbunga cha iyan IMEFUTWA MARA TATU[hariri chanzo]

Makala haifomati fomati yoyote, tahajia inajaa makosa mno - iandikwe upya au kufutwa. Kipala (majadiliano) 20:26, 3 Novemba 2022 (UTC)

Makala haijajitoshereza kabisa, haina fomati kabisa

Makala ni mbovu kupindukia, imechukuliwa tuu kutoka google translate ikamwagwa hapo. font type na size sijui kazitoa wapi. kiufupi ni mbovu. --Olimasy (majadiliano)

Gogle translate; mada inaweza kufaa, na hii ni sababu nimeipeleka hapa badala ya kufuta moja kwa moja. Kipala (majadiliano) 20:13, 9 Januari 2023 (UTC)[jibu]

Siku hizi tunapata mara kwa mara makala juu ya wafanyabiashara kutoka Uhindi na sasa pia UAE ambao si maarufu kweli na makala hizi zinasifu wahusika badala ya kutoa taarifa tu. Makala hii haifuati kanuni ya kutopendelea upande. Nina wasiwasi kuhusu umaarufu wake hata kama ametajwa kweli kwenye magazeti hayo ya huko. Sijui tunapata hapa watu wanaolipiwa kutangaza watu? Nashauri tutumie kama mwongozo wa umaarufu wa mtu nje ya Afrika kama kuna makala katika enwiki au la. Kwa watu katika Afrika iwe tofauti. Tufute hii. Kipala (majadiliano) 10:14, 22 Januari 2023 (UTC)[jibu]

Naona makala bado ipo japo imeandikwa kwamba imefutwa. Ni vigumu sana kujiridhisha na umaarufu wa watu wa nje lakini pia uandishi wake sio mzuri. Napendekeza ifutwe pia

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:06, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Salaam, Makala hii inakasoro kwenye uwandishi wa lugha na mtu huyo si maarufu, natumai wakuu mtaichunguza kwa makini. Amani iwe kwetu sote. Ayo9 (majadiliano) 09:25, 11 Februari 2023 (UTC)[jibu]

Makala ni fupi mno, lakini pia bado haionekani umuhimu wa makala hii kuwepo ,haina maelezo ya kutosha,Idd ninga (majadiliano) 12:45, 1 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala ni fupi mno,haieleweki, hakuna vyanzo ndani yake, na bado inaonekana haina nguvu kuendelea kuwepo, labda hadi ifanyiwe maboresho,Idd ninga (majadiliano) 18:01, 8 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Mbali ya kuwa ni makala ndefu, lakini ina dalili ya kuwepo kwa tafsiri ya mshine, maneno mengi hayapo katika kiswahili kinachoeleweka sana, inaweza kufanyiwa marekebisho zaidi, Idd ninga (majadiliano) 11:51, 12 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala haikufuata miiko na miundo wa kiswahili fasaha. Aidha marejeo yaliyotolewa hayakuwa na taarifa za kutosha. MagoTech Tanzania (majadiliano) 22:18, 12 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na wewe, umefutwa Asterlegorch367 (majadiliano) 11:12, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala iliandikwa kw kurudiwa (Repeat). Tazama Dinosauri. MagoTech Tanzania (majadiliano) 22:59, 12 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala iliandikwa kw kurudiwa (Repeat). Tazama Black Panther: Wakanda Forever. MagoTech Tanzania (majadiliano) 00:17, 14 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Hizi filamu zipi mbili, ya kwanza ni Black Panther (filamu) na hii ya hapa ni filamu ya mwaka 2022,Mtumiaji Denis bado anaonekana kama alikuwa anafanya mazoezi ya kuandika, japo karudi vile vile kama ilivyoandikwa katika makala ya kwanza, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 11:46, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala iliandikwa kw kurudiwa (Repeat). Tazama Uwezeshaji wa vijana MagoTech Tanzania (majadiliano) 23:02, 14 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala iliandikwa kw kurudiwa (Repeat). Tazama Utu uzima MagoTech Tanzania (majadiliano) 00:38, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala imeandiwka vibaya, inaonekana ni tafsiri ya mtandao na haina vyanzo vya kutosha. Michango minginge ya mtumiaji inafanana hivi na amefungiwa. Ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 11:25, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala inaonekana ya kutafsiri moja kwa moja kutoka kwenye mtandao na haina vyanzo. Makala zote za mtumiaji zipo hivi. Ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 11:30, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Makala imeandaliwa vibaya, inaonekana ya kutafsiri moja kwa moja kutoka

kwenye mtandao na haina vyanzo. Makala zote za mtumiaji zipo hivi na amefungiwa. Ifutwe

Asterlegorch367 (majadiliano) 11:30, 15 Machi 2023 (UTC)[jibu]