Nenda kwa yaliyomo

Patricia Kombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paticia Kombo

Patricia Kombo ni mwanamke kijana mwanaharakati wa masuala ya hali ya hewa kutokea nchini Kenya. [1][2] Anajulikana zaidi kwa miradi yake ya upandaji miti kama sehemu ya shughuli za mradi wake usio wa kifaida ujulikanao kama PaTree.[3][4][5][6]Kwa kazi hii Kombo ametajwa kama shujaa wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na kuenea kwa Jangwa.[7]

  1. "Patricia Kombo: The tree planter on a mission". Nation (kwa Kiingereza). 2020-07-05. Iliwekwa mnamo 2024-06-15.
  2. Cocking, Simon. "OUR FORESTS ARE TOO PRECIOUS TO BE LOST, PATRICIA MUMBUA KOMBO, INSPIRATIONAL KENYAN ACTIVIST", Irish Tech News, March 19, 2020. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-27. Iliwekwa mnamo 2023-04-15.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-03. Iliwekwa mnamo 2023-04-15.
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-24. Iliwekwa mnamo 2023-04-15.
  6. https://www.unccd.int/news-events/ciencia-magica-mexico-receives-unccd-land-heroes-award
  7. "Ciencia Mágica from Mexico receives UNCCD Land Heroes Award | UNCCD". www.unccd.int. Iliwekwa mnamo 2020-09-10.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricia Kombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.