Mi corazón es tuyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mi corazón es tuyo ni telenovela ya Mexiko iliyotengenezwa na Juan Osorio kwa Televisa na kutangazwa kwenye Canal de las Estrellas. Ni marekebisho ya safu ya runinga ya Hispania "Ana y los 7".

Waigizaji ni Silvia Navarro, Jorge Salinas, Mayrín Villanueva, Lisardo, Raúl Buenfil na Carmen Salinas. Pia walikuwepo René Casados, Adrián Uribe, Pablo Montero, Paulina Goto, Fabiola Campomanes na Norma Herrera.

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mi corazón es tuyo kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.