Televisa
Jump to navigation
Jump to search
Grupo Televisa S.A.B. ni kampuni ya vyombo vya habari ya Mexiko na kubwa zaidi katika Amerika ya Kilatini na ulimwengu unaozungumza Kihispania. Ni biashara kuu ya burudani ya kimataifa, na programu zake nyingi zinaonyeshwa nchini Marekani kwenye Univision, ambayo ina mkataba wa pekee.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Televisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |