Tanzania Tech

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tanzania Tech
Tanzania Tech Logo
Nembo ya Tanzania Tech
URLtanzaniatech.one
Aina ya tovutiOnline Magazine
Lugha zilizopoKiswahili
ViumbeMarch 2016
Alexa rank333,067 (May 2019)[1]
SasaActive

Tanzania Tech ni tovuti ya Kiswahili ya habari za teknolojia nchini Tanzania.

Tovuti hii imeanzishwa mwaka 2016 kwa lengo la kufikisha habari, uelewa na mafunzo ya teknolojia kwa Watanzania kwa lugha ya Kiswahili.

Tanzania Tech imetajwa hivi karibuni kwenye tovuti ya Tech in Africa kama moja ya tovuti 10 bora zinazochipukia kwa mwaka 2019. [2]

Tanzania Tech pia imetajwa kwenye tovuti mbalimbali kama startupranking, kama kampuni bora ya kwanza inayochipukia kwa upande wa media za Tanzania. [3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. TanzaniaTech.one Site Info. Alexa Internet. Iliwekwa mnamo 2019-06-02.
  2. Theo, "10 Startups to watch in Tanzania in 2019", Tech in Africa, 2019-05-27
  3. Startup Ranking, "Tanzania Top Startups", Startup Ranking, 2019-05-27

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]