Majadiliano ya mtumiaji:Ayo9

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:11, 18 Oktoba 2022 (UTC)[jibu]

Kuhusu Makala ya Lakshay[hariri chanzo]

Salamu,naona uliweka kigezo cha ufutaji katika makala hii https://sw.wikipedia.org/wiki/Lakshay_Jain na kusema kuwa imekaa kimatangazo, unaweza kujadili kwanini ama kama kuna kitu ambacho umekigundua kuhusu makala hiyo ?, amani sana Idd ninga (majadiliano) 11:43, 5 Februari 2023 (UTC)[jibu]

Salamu bwana... Nikweli nilipendekeza kufutwa kwa makala hiyo, kwani sijaona umaarufu wa mtu huyo mpaka kuandikwa kwenye wikipedia na muandishi aliandika kimatangazo zaidi. Nipendekezo tu ndugu mkabidhi. Amani sana. Ayo9 (majadiliano) 14:05, 5 Februari 2023 (UTC)[jibu]
Hongera kwa jitihada zako za kuhariri na kupitia makala, ila kama utaona makala imewekewa kigezo chochote, usifute kigezo hicho kabla ya aliewekea hajapitia makala hiyo, au kabla wakabidhi hawajatazama kama kigezo hicho kinafaa kuondolewa au la,Endelea kujifunza zaidi, upo vyema,safi sana ,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 18:31, 6 Februari 2023 (UTC)[jibu]
Nimelewa na shukrani sana. Amani. Ayo9 (majadiliano) 18:35, 6 Februari 2023 (UTC)[jibu]
amani pia nawe ndugu. Asante ! Miriam Tanui (majadiliano) 20:10, 8 Februari 2023 (UTC)[jibu]

HAbari ukipendekeza makala kwa ufutaji lazima uiandikishe kweye ukurasa wa Wikipedia:Makala kwa ufutaji maana usipoweka inawezekana hakuna atakayeona pendekezo lako. Kipala (majadiliano) 19:52, 10 Februari 2023 (UTC)[jibu]

Sawa, Ninashukuru sana kwa maelekezo. Ayo9 (majadiliano) 21:08, 10 Februari 2023 (UTC)[jibu]