Nenda kwa yaliyomo

Panishit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Panishee Mdudu)
Panishit
Jina la kuzaliwaStraton Filbert Kilawe
Pia anajulikana kamaPanishee Mdudu
Panipain
Panishit Maradhi
Amezaliwa11 Oktoba 1990 (1990-10-11) (umri 35)
Arusha,Tanzania
ChimbukoArusha, Tanzania
Aina ya muzikiHip hop
Kazi yakeRapa
Mtunzi wa Nyimbo
Mwanaharakati
Mshairi
AlaSauti
Ngoma
Kinanda
Miaka ya kazi2012 - hadi leo
Studio[[Hip Hop Sana Lab]
Ameshirikiana na

Straton Filbert Kilawe (anajulikana kwa jina la kisanii kama Panishit au Panishee Mdudu; alizaliwa 11 Oktoba 1990) ni rapa na mwanaharakati wa hip hop kutoka Arusha nchini Tanzania.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Panishit mi mtoto wa kwanza wa kiume katika familia ya watoto watatu iliyokulia katika hali ya mwananchi wa kawaida jijini Arusha Tanzania. Alianza kuvutiwa na muziki kutoka kwa mama yake aliyekuwa mwanakwaya na baba yake mshairi wa Kiswahili na kujikuta ana uwezo wa kuwaandikia watu shairi la Kiswahili shuleni wanapopewa mazoezi ya somo la Kiswahili

Alihitimu masomo yake ya degree ya sayansi ya Biolojia aliyotunukiwa na raisi mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa, Chuo Kikuu cha Dodoma, mwaka 2014 [1]

Kazi ya Muziki

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2014 Panishit alirekodi kazi na wasanii kama Nakaaya na Walter Chilambo (sasa anafanya gospel)[2] [3].

Panishit pia ameshirikiana na Moni Centrozone, Linex Sunday Mjeda na Belle Nine [4][5].

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Short Biography". PANISHEE (kwa Kiingereza). 2017-08-06. Iliwekwa mnamo 2022-09-13.
  2. Nwasante Khasiani (Writer), Nwasante Khasiani (Writer) (2014-06-09). "These Are The Top Ten Most Downloaded Songs In Kenya". Ghafla! (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-01. Iliwekwa mnamo 2022-07-07.
  3. "Panishee Mdudu ⚜ Online songs and bio of the artist — mdundo.com". mdundo.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-07.
  4. djmwanga (2017-03-20). "AUDIO | Panishit X Mack G - FIMBO | Download". DJ Mwanga (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-07-07.
  5. "Audiomack | Free Music Sharing and Discovery". audiomack.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-08.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panishit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.