Majadiliano:Panishit

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Straton F Kilawe Anatambulika kwa Jina La Kisanii Kama Panishee Mdudu Au Panishit , Ni Rapper na Mwanaharakati Wa Hip Hop kutoka Arusha Nchini Tanzania.

Amezaliwa mwaka tarehe 11.10.1990

 Ni Mtoto Wa kwanza wa kiume katika Familia ya Watoto Watatu Iliyokulia katika hali ya mwananchi wa Kawaida Jijini Arusha Tanzania, Alianza kuvutiwa na muziki kutoka Kwa Mama yake Aliyekuwa Mwanakwaya Na baba yake Mshahiri Wa Kiswahili na kujikuta Akiwa na uwezo wa kuwaandikia watu mashairi ya Kiswahili Shuleni wanapopewa mazoezi ya Somo La Kiswahili, 


Panishit Ni Msomi Wa Degree ya Sayansi Ya biolojia aliyotunukiwa na raisi mstaafu wa Tanzania ‘Benjamin William Mkapa ‘ Chuo Kikuu Cha Dodoma  Mwaka 2014 ,

Alianza kujihusisha na muziki rasmi Mwaka 2012 Pale alipofanikiwa Kuingia Studio na Kurekodi Singo yake ya Kwanza akiwa na Kundi Lake GAZA GANG CLAN ,wimbo uliorekodiwa katika Studio za Noiz Mekah Arusha Chini Ya Producer Def Xtro (DX) wimbo uliompa nafasi ya Kuperfome Jukwaa Moja La Grand Malti na Msanii Wa Hip Hop Joh Makini, Kwa Uwezo Wake Mzuri wa Kucheza na Mic , Joh makini Alimpandisha Jukwaani na Huku Akimwambia "Punish It , Punish It " (Akimaanisha Achane kisawa sawa ) Hapo ndio ukawa Mwanzo wa Kutumia jina "PANISHIT" katika kazi zake za Kisanaa, Mwaka huo Huo Alirecord wimbo wake wa Pili studio Ile Ile Alioupa Jina #Maradhi Wimbo Ambao Ulivutia Masikio Ya Mkongwe Wa Hip Hop kutoka Watengwa JCB kitu kilichompa Moyo Rapa Huyo baada ya Chindo Man pia Kumrecognise na kumuita katika Studio Ya Watengwa Record (WTC) iliyopo kijenge Juu Jijini Arusha,

,Kazi Alizozifanya Na Producer Kz Kutoka kazawaza Records Arusha Zilimfanya Azidi Kujipatia Mashabiki wa hip hop Huku akijihusisha na Na Harakati za hip hop , kama Kilinge Cha Tamaduni Muzik na S.U.A

Katika Kipindi Hichi , Panishee Mdudu Alikutana kwa uKaribu na Msanii Mkongwe Wa Hip Hop Tanzania #NashMc Ambaye Alianza kumfundisha mambo mbali mbali kuhusu soko la muziki wa Hip Hop na Changamoto zake , Maalim Nash Alimpa Panishee Mdudu Nafasi Ikiwa ni Pamoja na Kumtambulisha Kwa Mashabiki wake wa Hip Hop , Na kumpa Connection kwa Watangazaji Wa Radio kama Kadhaa , Mwaka 2014 Panishit Alizidi Kujipatia Umaarufu kwa Jamii Ya Hip Hop Baada Ya Ngoma Yake "Mi Sijui" kuingia Top Ten ya Ngoma Zulizodownlodiwa Zaidi Kenya Kwenye Mtandao wa MDUNDO.COM akiwa kwenye Chart Moja na Wasanii , Bahati Kenya , H_the Band na Nikki Mbishi , Chart Ambayo Ilichapishwa na Mtandao Maarufu Wa muziki Kenya Ghafla.Com Wimbo Huo Pia Ulipata Nafasi Ya Kuchezwa Katika Vituo Kadhaa vya Radio , Ambapo DJ Maarufu Dj Mafuvu Aliupa Nafasi Kila Alipoingia Mtamboni kwenye Planet Bongo Ya East Africa Radio.

Mwaka Uliofuata Panishit Alirekodi Kazi na wasanii kama Nakaaya Sumari na Walter Chilambo (Sasa Anafanya Gospel),akiungana King Kapita(Aliyekuwa Kundi La wakacha ) naMack G na Kuunda Click Iliyoitwa Watu Wabaya Click (WWC) kundi ambalo Halikudumu Kwa Muda Mrefu , Baada ya Watu Wabaya Click kusambaratika Haukuwa mwisho wa Panishit Kufanya Harakati za Kundi kwani Aliungana na Myson Artist Pamoja na Nasho Smartkid na kulisimamisha kundi la Rotten Blood ambalo Liliwatambulisha Zaidi kwa Mashabiki wa Muziki Tanzania baada ya kurekodi Nyimbo kadhaa wasanii wakubwa Kama Linex Sunday Mjeda , Belle 9 na Moni Centrozone ambapo ngoma hizo zilitengenezwa na Maproduzer ,Mr Ttach , Bin laden, Mesen Seleka na Tony Drizzy , Ngoma zilizopata Nafasi ya kuchezwa na vituo vya Radio Na Tv za Tanzania ..

Panishee mdudu[hariri chanzo]

Jina la makala limebadilishwa ,lilitakiwa kuwa Panishee Mdudu na sio Straton Filbert Kilawe , Jina Maarufu na linalojulikana ni Panishee Mdudu ama Panishit Hip hop Sana society (majadiliano) 18:33, 19 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Nakubali hoja hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:32, 20 Julai 2022 (UTC)[jibu]

Haifai kutumia jina la straton Filbert Kilawe kama jina LA makala , Lemma inapaswa iwe Panishee Mdudu ,Makala hii Inamuhusu mwanamziki wa Tanzania Anayejulikana kwa jina la Panishee Mdudu au Panishit Na sio Straton Filbert Kilawe (Jina La Familia) Goodlucktesha (majadiliano) 20:32, 24 Julai 2022 (UTC)[jibu]