Kilinux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilinux ni mradi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswidi (SIDA), katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[1] kwa ajili ya kutanua matumizi ya Kiswahili.

Inapatikana nchini Tanzania na inaendeshwa na Linux, ikilenga kuunda mfumo wa kitarakilishi kwa ajili ya uendeshaji katika Kiswahili, ambacho kinazungumzwa na takriban watu milioni 100. Mradi huo ulianzishwa kwa juhudi za pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kampuni ya IT+46 kutoka Uswidi.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mradi wa Kilinux ulianza mwaka 2003 kwa uundaji wa faharasa na kikagua herufi kwa OpenOffice.org.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Because it could be done, we play our part! Swahili Free and Open Source Software.". 4 December 2004. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 February 2009. Iliwekwa mnamo 30 December 2011.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)