Nenda kwa yaliyomo

Wakristadelfiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wakristadelfiano)
Christadelphian Hall, Bath, England

Wakristadelfiani (kutoka jina la Kiingereza "Christadelphians") ni dhehebu dogo la Ukristo lililoanzishwa katika Uingereza na Marekani katika karne ya 19. Jina lilibuniwa na mwanzilishi wake John Thomas aliyeunganisha maneno ya Kigiriki "khristos" (Kristo) na "adelfoi" ("ndugu") kwa maana ya " ndugu wa Kikristo".

Kwa hiyo maana ya jina Kristadelfiani ni 'Ndugu katika Kristo'.

Duniani kote wapo wanachama 55~65,000 hivi.[1]

Wakristadelfiani wanadai ya kwamba wanaamini mafundisho yote ya Biblia ambayo ni pamoja na:[2]

Utaratibu wa Iklezia (kanisa)

[hariri | hariri chanzo]
Christadelphian Chapel, Buffalo, New York

Watumishi wa Iklezia, yaani (1) Mwenyekiti, (2) Katibu, (3) Mtunza Hazina na (4) Mkaguzi wa Hesabu. Iklezia mpya watahitaji ndugu wanne ili kutenda kazi wakiwa ni watumishi wa Iklezia na kushika kazi mahususi. Watumishi wa Iklezia hawatakiwi kutawala iklezia, bali watende kazi kama watumishi wa Bwana na wa ndugu zao na dada. Hawatakiwi wawe madikteta katika mambo ya Iklezia bali kama watumishi wa Bwana na wa Iklezia. Hawatakiwi kuishi kwa pesa za Iklezia au kujiona wenyewe ni wachungaji au watu wa kuheshimiwa sana kama padri n.k.

  1. The Columbia Encyclopedia, Sixth Edition, 2009
  2. Tennant, Harry. The Christadelphians, what they believe and teach. CMPA Birmingham 1987
  3. Ulukilanio Lwa Mündu (The Serpent) CBM Tanzania

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakristadelfiani kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.