Papua Guinea Mpya
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Unity in diversity | |||||
Wimbo wa taifa: O Arise, All You Sons[1] | |||||
Mji mkuu | Port Moresby | ||||
Mji mkubwa nchini | Port Moresby | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Tok Pisin, Hiri Motu | ||||
Serikali | Ufalme wa Kikatiba Charles III wa Uingereza Sir Bob Dadae James Marape | ||||
Uhuru Madaraka ya kujitawala Uhuru |
1 Desemba 1973 16 Septemba 1975 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
462,840 km² (ya 54) 2 | ||||
Idadi ya watu - 2011 preliminary census kadirio - Msongamano wa watu |
7,059,653 (ya 102) 15/km² (ya 201) | ||||
Fedha | Kina (PGK )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
AEST (UTC+10) (UTC+10) | ||||
Intaneti TLD | .pg | ||||
Kodi ya simu | +675
- |
Papua Guinea Mpya (Independen Stet bilong Papua Niugini) ni nchi karibu na Indonesia na Australia inayokalia upande wa mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya pamoja na visiwa vya kandokando.
Nchi ni mwanachama wa Jumuia ya Madola. Mtawala ni Malkia Elizabeth II.
Mji mkuu ni Port Moresby.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Inakadiriwa kwamba watu wa kwanza walifika huko miaka 42,000-45,000 KK.[2]
Watu
[hariri | hariri chanzo]Kati ya wakazi, wengi wanaishi katika mazingira asili,[3] ambayo kwa kiasi kikubwa hayajachunguzwa na wataalamu.[4]
Asilimia 18 tu wanaishi mijini.[5]
Nchini Papua Guinea Mpya kuna lugha za asili zaidi ya 800 (angalia orodha ya lugha za Papua Guinea Mpya).[6] Hiyo inaonyesha kwamba ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa zaidi katika utamaduni.
Upande wa dini, Ukristo unafuatwa na 96% ya wakazi.[7] kati ya madhehebu, linaongoza Kanisa Katoliki (27.0%), likifuatwa na Walutheri (19.5%).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Never more to rise". The National (6 Februari 2006). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-13. Iliwekwa mnamo 2005-01-19.
- ↑ O’Connell, J. F., and J. Allen. "Pre-LGM Sahul (Australia-New Guinea) and the archaeology of early modern humans." Rethinking the human revolution: new behavioural and biological perspectives on the origin and dispersal of modern humans (2007): 395-410.
- ↑ James, Paul; Nadarajah, Yaso; Haive, Karen; Stead, Victoria (2012). pdf download Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea. Honolulu: University of Hawaii Press.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help) - ↑ Gelineau, Kristen. "Spiders and frogs identified among 50 new species", The Independent, 26 March 2009. Retrieved on 26 March 2009.
- ↑ "World Bank data on urbanisation". World Development Indicators. World Bank. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2005.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Papua New Guinea. Ethnologue
- ↑ "Papua New Guinea". International Religious Freedom Report 2003. US Department of State.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Biskup, Peter, B. Jinks and H. Nelson. A Short History of New Guinea (1970)
- Connell, John. Papua New Guinea: The Struggle for Development (1997) online
- Gash, Noel. A Pictorial History of New Guinea (1975)
- Golson, Jack. 50,000 years of New Guinea history (1966)
- Griffin, James. Papua New Guinea: A political history (1979)
- James, Paul; Nadarajah, Yaso; Haive, Karen; Stead, Victoria (2012). pdf download Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea. Honolulu: University of Hawaii Press.
{{cite book}}
: Check|url=
value (help) - Knauft, Bruce M. South Coast New Guinea Cultures: History, Comparison, Dialectic (1993) excerpt and text search
- McCosker, Anne. Masked Eden: A History of the Australians in New Guinea (1998)
- Mckinnon, Rowan, et al. Papua New Guinea & Solomon Islands (Country Travel Guide) (2008) excerpt and text search
- Swadling, Pamela (1996). Plumes from Paradise. Papua New Guinea National Museum. ISBN 9980-85-103-1.
- Waiko. John. Short History of Papua New Guinea (1993)
- Waiko, John Dademo. Papua New Guinea: A History of Our Times (2003)
- Zimmer-Tamakoshi, Laura. Modern Papua New Guinea (1998) online
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Jinks, Brian, ed. Readings in New Guinea history (1973)
- Tim Flannery Throwim' Way Leg: Tree-Kangaroos, Possums, and Penis Gourds (2000) memoir excerpt and text search
- Malinowski, Bronislaw. Argonauts of the Western Pacific: An Account of Native Enterprise and Adventure in the Archipelagoes of Melanesian New Guinea (2002) famous anthropological account of the Trobriand Islanders; based on field work in 1910s online
- Visser, Leontine, ed. Governing New Guinea: An Oral History of Papuan Administrators, 1950–1990 (2012)
- Whitaker, J.L. et al. eds. Documents and readings in New Guinea history: Pre-history to 1889 (1975)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Serikali
- Prime Minister of Papua New Guinea Archived 11 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- Taarifa za jumla
- Papua New Guinea entry at The World Factbook
- Papua New Guinea Archived 7 Aprili 2008 at the Wayback Machine. at UCB Libraries GovPubs.
- Wikimedia Atlas of Papua New Guinea
- Papua New Guinea Business Directory
- PNG Links & Search incl. GoPNG & NGO links; Who's Who;
Blogs, Forums, Factsheets, etc.
- Papua New Guinea Institute of National Affairs Archived 27 Agosti 2014 at the Wayback Machine.
- Forecasts for Papua New Guinea Development
Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | Nyuzilandi | Niue | Pitcairn | Polinesia ya Kifaransa | Palau | Papua Guinea Mpya | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|