Nenda kwa yaliyomo

Moi Air Base

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moi Air Base ni kata ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Kamukunji. Jina linatokana na uwanja wa ndege uliopo.