Nenda kwa yaliyomo

Parklands, Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Parklands, Nairobi ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Pamoja na Highridge unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi, eneo bunge la Westlands.