Nenda kwa yaliyomo

Nairobi Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nairobi Kati ni tarafa ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Starehe.