Highridge
Mandhari
Highridge ni mtaa tajiri wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Pamoja na Parklands unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi, eneo bunge la Westlands.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Highridge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |