Nenda kwa yaliyomo

Kawangware

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kawangware ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya.

Ni kata ya eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, kaunti ya Nairobi.