Dagoretti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dagoretti ni eneo lililoko magharibi mwa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Eneo hili liko katika wilaya kubwa ya Nairobi west Nairobi. Dagoretti imegawanywa hadimipaka sita. Jimbo la Dagoretti lina mipaka sawia na eneo la Dagoretti.

Kata[hariri | hariri chanzo]

Kata Idadi ya Watu
Kawangware 86,824
Kenyatta 30,253
Mutuini 14,521
Riruta 65,958
Uthiru / Ruthimitu 23,016
Waithaka 19,937
Jumla 240,081
sensa ya mwaka wa 1999 [1]

Usafiri[hariri | hariri chanzo]

Kituo cha reli cha Dagoretti kiko kwenye mstari wa mfumo wa reli ya kitaifa.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 01°18′00″S 36°46′00″E / 1.3°S 36.766667°E / -1.3; 36.766667