Nenda kwa yaliyomo

Korogocho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Korogocho ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Ni kata ya eneo bunge la Ruaraka, kaunti ya Nairobi.