Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika
Mandhari
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika ni chuo kikuu kinachopatikana jijini Nairobi, Kenya.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Chuo hicho kilianzishwa mnamo 1983 kama Shule ya Uhitimu ya Kiinjili ya Nairobi (N.E.G.S.T.) kupitia maono ya Chama cha Wainjilishaji barani Afrika. Lengo lilikuwa kutoa mafunzo kwa wachungaji zaidi, vya viwango vya msingi kwa ngazi ya cheti na diploma
Mnamo Machi 2011, A.I.U. ilipewa na serikali ya Kenya hati ya chuo kikuu na imeendelea kuandaa programu za shahada ya kwanza, haswa katika biashara, ICT, Mafunzo ya Maendeleo na Saikolojia ya Ushauri[1]
Programu
[hariri | hariri chanzo]AIU inatoa kabla ya chuo kikuu, shahada ya kwanza, uzamili, shahada ya pili na shahada ya tatu .
Programu za shahada ya kwanza
[hariri | hariri chanzo]- Shahada ya Sanaa katika Saikolojia na Ushauri (miaka 4 au miaka 2 kwa wale waliyotoka Stashahada husika)
- Shahada ya Usimamizi wa Biashara (miaka 4 au miaka 2 kwa wale waliyotoka Stashahada husika)
- Shahada ya Theolojia (Th.B.) (miaka 4 au miaka 2 kwa wamiliki wa Stashahada ya Theolojia)
- Shahada ya elimu
Ukuaji wa watoto wa mapema
[hariri | hariri chanzo]- Elimu ya msingi
- Elimu ya sekondari
- Shahada ya Sanaa katika Mafunzo ya Maendeleo (miaka 4)
- Maendeleo Endelevu ya Jamii[2]
Maendeleo ya mijini
[hariri | hariri chanzo]- Shahada ya Sayansi katika Ujasiriamali (miaka 4)
- Shahada ya Sayansi katika Uhasibu na Usimamizi wa Fedha (miaka 4)
- Shahada ya Sayansi katika Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari (miaka 4)
- Mfumo wa Habari wa Usimamizi
- Maendeleo ya Programu
- Mtandao wa Kompyuta[3]
Programu za Shahada ya pili
[hariri | hariri chanzo]- Programu za Shahada ya pili Theolojia (Th.M.) (miaka 2)
- Th.M. katika Mafunzo ya Kibiblia (miaka 2)
- Th.M. katika Masomo ya Misheni (miaka 2)
- Th.M. katika Ukristo Ulimwenguni (miaka 2)
Shahada ya pili ya Uungu (M.Div.) (Miaka 3 ya wakati wote)
[hariri | hariri chanzo]- M.Div. katika Mafunzo ya Kibiblia
- M.Div. katika Elimu ya Kanisa
- M.Div. katika Historia ya Kanisa
- M.Div. Mkuu
- M.Div. katika Masomo ya Misheni
- M.Div. katika Masomo ya Kichungaji
- M.Div. katika Mafunzo ya Kitheolojia
- M.Div. katika Mafunzo ya Tafsiri
Shahada ya pili ya Sanaa (miaka 2 ya wakati wote, miaka 3 muda wa muda)
[hariri | hariri chanzo]- Shahada ya plii katika Mafunzo ya Kibiblia
- Shahada ya pili katika Historia ya Kanisa
- Shahada ya pili katika Mafunzo ya Tafsiri
- Shahada ya pili katika Misheni
- Mkazo wa Kiislamu
- Shahada ya pili katika Uongozi wa Shirika
- Shahada ya pii katika Masomo ya Kichungaji
- shahada ya pili katika Theolojia Mwalimu wa Elimu Maendeleo ya Mtoto na Mafunzo ya Familia Elimu ya Kanisa
- Mtaala na Maagizo
- Uongozi wa Kielimu na Utawala
Programu za udaktari
[hariri | hariri chanzo]- Shahada ya tatu. katika Elimu (miaka 4)
- Mtaala na Maagizo
- Elimu ya Kanisa
- Uongozi wa Kielimu na Utawala
- Maendeleo ya Mtoto na Mafunzo ya Familia
- Shahada ya tatu. katika Mafunzo ya Tafsiri
- Shahada ya tatu katika Mafunzo ya Dini
- shahada ya tatu katika Theolojia ya Vitendo (Inakuja hivi karibuni)
- shahada ya tatu. katika Mafunzo ya Kitheolojia (miaka 4)
- Mafunzo ya Kibiblia
- Ukristo Ulimwenguni
- Masomo ya misheni
- Teolojia na Maendeleo
- Teolojia na Utamaduni
- Teolojia ya kimfumo[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Africa International University - Our History". www.aiu.ac.ke. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
- ↑ "Africa International University - Courses Offered". web.archive.org. 2014-10-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-08. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
- ↑ "Questia". www.gale.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
- ↑ "Questia". www.gale.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-06-19.