Majadiliano ya mtumiaji:Doc James/Health care

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

This is a translation of [1] done by dylaxm and Judith Prince of w:en:Translators Without Borders

Health care[hariri chanzo]

Cancer
Cancer - Saratani
Lung cancer - Saratani ya mapafu
Colorectal cancer - Saratani ya utumbo mpana ya rektamu
Cervical cancer - Saratani ya mlango wa kizazi
Breast cancer - Saratani ya maziwa
Skin cancer - Saratani ya ngozi
Prostate cancer - Saratani ya kibofu
Stomach cancer - Saratani ya tumbo
Liver cancer - Saratani ya ini
Infections
Infection - Uambukizo
Common cold - Mafua
Streptococcal pharyngitis - uvimbe wa koromeo kwa bakteria
Croup - Kifaduro
Dengue fever - Homa ya vipindi
Meningitis - Homa ya uti wa mgongo
Hepatitis B - Homa ya manjano B
Hepatitis C - Homa ya manjano C
Influenza - Homa ya mafua
Sepsis - Sepsisi
AIDS - UKIMWI
Tuberculosis - Kifua kikuu
Malaria - Malaria
Dental caries - Kuoza kwa meno
Gastroenteritis - Mwako wa tumbo
Sexually transmitted disease - Ugonjwa wa zinaa
Pneumonia - Nimonia
Urinary tract infection - Maambukizo ya mfumo wa mkojo
Diseases of poverty - Magonjwa ya umaskini
Fever- Homa
Public health
Public health - Afya ya umma
Sanitation - Usafi
Health effects of tobacco - Athari za afya za tumbaku
Alcoholism - Taathira ya ulevi
Vaccination - Chanjo
Malnutrition - Utapiamlo
Obesity - Unene
Traffic collision - Ajali ya gari
Mental health
Mental disorder - Ugonjwa wa akili
Schizophrenia - kuchanganyikiwa kiakili
Anxiety disorder - Ugonjwa wa wasiwasi
Attention deficit hyperactivity disorder - Ugonjwa wa kutokutulia
Major depressive disorder - Vurumai kuu ya mfadhaiko
Suicide - Kujiua
Maternal and child health
Maternal and child health - Afya ya akina mamana watoto
Pregnancy - ujauzito
Birth control - uzazi wa mpango
Vaccine - chanjo
Heart health
Heart health - Afya ya moyo
Cardiovascular disease - Ugonjwa wa moyo
Hypercholesterolemia - Ugonjwa wa kujaa mafuta katika damu
Hypertension - shinikizo la juu la damu
Myocardial infarction - Shtuko la moyo
Brain and senses
Brain and senses - Akili na milango ya maarifa
Alzheimer's disease - Ugonjwa wa Alzheimer
Multiple sclerosis - Ugonjwa mwingi wa kukacha kwa seli
Parkinson's disease - Ugonjwa wa Parkinson
Stroke - Kupooza
Dementia - Kichaa
Epilepsy - Kifafa
Cataract - Ugonjwa wa macho
Blindness - Upofu
Pain - Uchungu
Immune system and endocrine
Immune system and endocrine - mfumo wa kinga na tezi
Asthma - Pumu
Allergy - Mzio
Anaphylaxis - [[Athari mbaya kwenye njia ya pumzi na ya

mzunguko wa damu inayoletwa na protini ya kigeni]]

Chronic obstructive pulmonary disease - [[Magonjwa yenye

ishara sawa na zile za njia za hewa zilizofungika]]

Cirrhosis - Madhara ya ini
Diabetes mellitus type 2 - Ugonjwa wa kisukari aina 2
Gout - Jongo
Trauma
Low back pain - Uchungu wa chini ya mgongo
Bone fracture - Kuvunjika kwa mguu
Burn - Kuchomeka
Trauma (medicine) - Kiwewe (dawa)]]