Ujauzito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pregnancy)
Mwanamke aliye mjazito.

Ujauzito ni hali ya mja (yaani mtu, hususan mwanamke) kuwa mzito kutokana na mimba.

Hali hiyo kwa kawaida inadumu wiki 38 (miezi tisa hivi) ambapo mimba inazidi kukua na kukomaa ndani ya tumbo la uzazi la mama yake hadi wakati wa huyo kujifungua.

Ingawa katka lugha kadhaa yanatumika majina mbalimbali kwa mimba hiyohiyo kadiri muda wa kukua unavyozidi kwenda, hakuna badiliko la msingi wala hatua mpya, bali ni ustawi endelevu.

Miezi mitatu ya kwanza ndiyo yenye hatari zaidi ya mimba kuharibika.

Pengine mimba si moja bali mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hapo watazaliwa watoto pacha.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujauzito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.