Nebraska : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: frr:Nebraska
{{Majimbo ya Marekani}} using AWB
Mstari 13: Mstari 13:


{{mbegu-jio-USA}}
{{mbegu-jio-USA}}
{{Marekani}}
{{Majimbo ya Marekani}}


[[Jamii:Majimbo ya Marekani]]
[[Jamii:Majimbo ya Marekani]]

Pitio la 18:45, 23 Agosti 2010

Mahali pa Nebraska katika Marekani


Nebraska ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katikati ya Marekani bara ikipakana na majimbo ya South Dakota, Iowa, Missouri, Kansas, Colorado na Wyoming.

Mji mkuu ni Lincoln na mji mkubwa jimboni ni Omaha. Jimbo lina wakazi 1,711,263 (2000) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 200,520.

Nebraska ni hasa jimbo la kilimo cha mahindi pamoja na ufugaji wa ng'ombe.

Hali ya hewa ni majira ya joto na baridi kali. Wakati wa Julai/Agosti halijoto hufikia +30°C inayoshuka hadi -20 °C wakati wa January.

Eneo la Nebraska lilitwaliwa na Marekani mwaka 1854. Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani eneo likapewa cheo cha jimbo kamili.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nebraska kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming