Michigan : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 138 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1166 (translate me) |
No edit summary Tags: Reverted KihaririOneshi |
||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793. |
Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793. |
||
Michigan ndio moja tu ya majimbo kugawanywa katika sehemu mbili kubwa za ardhi: vipande vyenye idadi ndogo lakini yenye utajiri wa madini Upper Peninsula vipande mashariki kutoka kaskazini mwa Wisconsin kati ya [[Ziwa Superior]] na Michigan, na Peninsula ya chini yenye umbo inafikia kaskazini kutoka Indiana na Ohio. |
|||
[[Picha:Map of Michigan NA.png|thumb|left]] |
[[Picha:Map of Michigan NA.png|thumb|left]] |
||
== Viungo vya Nje == |
== Viungo vya Nje == |
||
* [http://www.michigan.gov/ State of Michigan Official Website] |
* [http://www.michigan.gov/ State of Michigan Official Website] |
||
*[http://rehabs.com/local/michigan/ Michigan Treatment Center] |
|||
{{commonscat}} |
{{commonscat}} |
Pitio la 11:40, 20 Oktoba 2021
Michigan | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Lansing | ||
Eneo | |||
- Jumla | 250,494 km² | ||
- Kavu | 147,121 km² | ||
- Maji | 103,372 km² | ||
Tovuti: http://www.michigan.gov/ |
Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin.
Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit.
Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.
Michigan ndio moja tu ya majimbo kugawanywa katika sehemu mbili kubwa za ardhi: vipande vyenye idadi ndogo lakini yenye utajiri wa madini Upper Peninsula vipande mashariki kutoka kaskazini mwa Wisconsin kati ya Ziwa Superior na Michigan, na Peninsula ya chini yenye umbo inafikia kaskazini kutoka Indiana na Ohio.
Viungo vya Nje
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Michigan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |