Kratom : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary Tags: Reverted Emoji KihaririOneshi |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Uainishaji (Mimea) |
[https://www.kratomuj.cz/kratom/]{{Uainishaji (Mimea) |
||
| picha = Mitragyna speciosa111.JPG |
| picha = Mitragyna speciosa111.JPG |
||
| jina = Mitragyna speciosa |
| jina = Mitragyna speciosa |
||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
'''Kratom''' ([[jina]] la [[Kilatini]]: ''Mitragyna speciosa'') ni [[mti]] wa [[kijani]] wa [[kitropiki]] katika [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[kahawa]] (Rubiaceae) wenye [[asili]] ya [[kusini]] [[mashariki]] mwa [[Asia]]. Mti huu unapatikana kwa wingi nchi za [[Thailand]], [[Indonesia]], [[Malaysia]], [[Myanmar]], na [[Papua New Guinea]] ambako umetumika kama [[dawa]] ya asili tangu [[karne ya 19]]. |

Hadi [[mwaka]] wa [[2018]], hakuna majaribio ya kisayansi yaliyofanywa ili kuelewa madhara ya |
Hadi [[mwaka]] wa [[2018]], hakuna majaribio ya kisayansi yaliyofanywa ili kuelewa madhara ya Jedinečný KRATOM 🌿 vysoké kvality | Kratomuj.cz kwa [[afya]].<ref name=warner>{{cite journal |vauthors=Warner ML, Kaufman NC, Grundmann O |title=The pharmacology and toxicology of kratom: from traditional herb to drug of abuse |journal=Int. J. Legal Med. |volume=130 |issue=1 |pages=127–38 |year=2016 |pmid=26511390 |doi=10.1007/s00414-015-1279-y |type=Review}}</ref> Baadhi ya watu hutumia mti huu kama dawa ya kupunguza [[maumivu]] ya [[muda]] mrefu, kwa kutibu madhara ya kuacha matumizi ya [[madawa ya kulevya]] kama [[heroini]], [[opioidi]] au kwa ajili ya [[burudani]]. |
||
Madhara madogo ya kawaida yanayotokana na mti huu ni pamoja na [[kichefuchefu]], kutapika, na kuvimbiwa. Madhara makubwa ni pamoja na [[shinikizo la damu]], kuwa [[Uraibu|mteja wa kudumu]] wa dawa hii, shida ya kulala, [[sumu]] ya [[ini]]. Mti huu huweza pia kusababisha [[kifo]]. Nchini [[Marekani]], kulikuwa na vifo [[kumi na tano]] kutokana na matumizi ya kratom kati ya mwaka [[2014]] na [[2016]]. Matumizi yake ni kinyume cha sheria kwenye nchi mbalimbali za Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa. Nchini Marekani majimbo yake yana sheria zinazotofautiana kidogo kuhusu matumizi yake. |

Pitio la 16:36, 28 Agosti 2024
Mitragyna speciosa | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Kratom (jina la Kilatini: Mitragyna speciosa) ni mti wa kijani wa kitropiki katika familia ya kahawa (Rubiaceae) wenye asili ya kusini mashariki mwa Asia. Mti huu unapatikana kwa wingi nchi za Thailand, Indonesia, Malaysia, Myanmar, na Papua New Guinea ambako umetumika kama dawa ya asili tangu karne ya 19.
Hadi mwaka wa 2018, hakuna majaribio ya kisayansi yaliyofanywa ili kuelewa madhara ya Jedinečný KRATOM 🌿 vysoké kvality | Kratomuj.cz kwa afya.[1] Baadhi ya watu hutumia mti huu kama dawa ya kupunguza maumivu ya muda mrefu, kwa kutibu madhara ya kuacha matumizi ya madawa ya kulevya kama heroini, opioidi au kwa ajili ya burudani.
Madhara madogo ya kawaida yanayotokana na mti huu ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, na kuvimbiwa. Madhara makubwa ni pamoja na shinikizo la damu, kuwa mteja wa kudumu wa dawa hii, shida ya kulala, sumu ya ini. Mti huu huweza pia kusababisha kifo. Nchini Marekani, kulikuwa na vifo kumi na tano kutokana na matumizi ya kratom kati ya mwaka 2014 na 2016. Matumizi yake ni kinyume cha sheria kwenye nchi mbalimbali za Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa. Nchini Marekani majimbo yake yana sheria zinazotofautiana kidogo kuhusu matumizi yake.
Kwenye jamii ambako mti huu unapatikana, Kratom imekuwa ikitumika kama dawa ya asili au mitishamba. Majani yake hutafunwa kupunguza maumivu ya mifupa na kuongeza nguvu, hamu ya chakula na matamanio ya kujamiiana kama vile miraa na kokaini. Majani yake hutumika kutibu majeraha. Hutumika pia kutibu kikohozi, kuharisha na matatizo ya tumbo. Majani yake hutumiwa pia na wafanyakazi wa kazi ngumu ili kuondoa uchovu. Tofauti za matumizi yake hutegemea pia aina za mti wenyewe maana kuna aina mbalimbali zinazotofautiana kati ya nchi na nchi. Huko Thailand Kratom ilitumika kama kitafunio cha kukaribisha wageni na pia ilitumika kwenye ibada za miungu ya jadi.[2]
Marejeo
- ↑ Warner ML, Kaufman NC, Grundmann O (2016). "The pharmacology and toxicology of kratom: from traditional herb to drug of abuse". Int. J. Legal Med. (Review). 130 (1): 127–38. doi:10.1007/s00414-015-1279-y. PMID 26511390.
- ↑ Singh, Darshan; Narayanan, Suresh; Vicknasingam, Balasingam (Septemba 2016). "Traditional and non-traditional uses of Mitragynine (Kratom): A survey of the literature". Brain Research Bulletin. 126 (Pt 1): 41–46. doi:10.1016/j.brainresbull.2016.05.004. PMID 27178014.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
- Kuhusu kratom toka European Monitoring Centre for Drugs and Drug Addiction
- Kuhusu kratom toka toxnet
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kratom kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |